DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #41
Ok sawa twende kwa hoja mkuu wangu..acha kujitoa akili na hizi diversion tactics, unaleta mbanga za waisrael ukipinga uhalifu wao, wanakulabel antisemite. Hakuna mtu mwenye shida na utajili wake, bali wizi wa mali za umma na wakihojiwa, madalali wanufaika wa michongo yao kama wewe, mnatetea kuwa watu wanachuki na matajiri. Yule chenge watu wakihoji wizi wake, ndio inakua wanamchukia kisa yeye tajiri. Mtu anayemtetea fisadi kama wewe mnapaswa kuchukiwa na kuadhibiwa vikali.
UFisadi wake ni upi?
Nitajie ufisadi wake alioufanya mwaka 1995..
Na pia nitajie ufisadi wake alioufanya Muda wowote ule..
Kujiuzuru kwa ajili ya kuwajibika ni mawaziri na viongozi waadilifu pekee hufanga hivyo..
Kipindi cha Mwalimu watuhumiwa wengi sana walikufa walipokuwa wamewekwa mahabusu..
Kitemdo kile kilifanya Ali hassan mwinyi ajiuzuru uwaziri wa Mambo ya ndani..
Unataka kusema mwinyi aliwaua Mahabusu yeye?
Jifunze kuna kitu kinaitwa Accountability ni kuwajibika kutokana na nyadhifa uliyopo..
Tanzania ya Sasa inakosa uadilifu na accayntability..
Na ndo maana sishangai watu wanahoji kuhusu Lowasa kujiuzuru kama angebaki ingechafua Taswira ya Rais..
Umewahi kujiuliza kwanini Nyerere aling'atuka (Kujiuzuru urais) na Kuacha Tanzania?