Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Ok sawa twende kwa hoja mkuu wangu..
UFisadi wake ni upi?

Nitajie ufisadi wake alioufanya mwaka 1995..
Na pia nitajie ufisadi wake alioufanya Muda wowote ule..

Kujiuzuru kwa ajili ya kuwajibika ni mawaziri na viongozi waadilifu pekee hufanga hivyo..

Kipindi cha Mwalimu watuhumiwa wengi sana walikufa walipokuwa wamewekwa mahabusu..
Kitemdo kile kilifanya Ali hassan mwinyi ajiuzuru uwaziri wa Mambo ya ndani..

Unataka kusema mwinyi aliwaua Mahabusu yeye?

Jifunze kuna kitu kinaitwa Accountability ni kuwajibika kutokana na nyadhifa uliyopo..

Tanzania ya Sasa inakosa uadilifu na accayntability..

Na ndo maana sishangai watu wanahoji kuhusu Lowasa kujiuzuru kama angebaki ingechafua Taswira ya Rais..

Umewahi kujiuliza kwanini Nyerere aling'atuka (Kujiuzuru urais) na Kuacha Tanzania?
Mke wa Mfalme hatakiwi kushukiwa achilia mbali kutenda kosa.

Tanu/Ccm sio chama Cha makabaila ndio maana mnawashangilia kina Jiwe Sokoine and co mnawaita Chuma kweli kweli kisa wamewashughulikia wenye pesa.

Hata baada ya Samia come 2030 atakuja mtu mwingine dizaini ya Mwendazake maana ndicho wajinga wengi wa Nchi wanakitaka.
 
Nyerere zaidi ya uhuru wa mchongo toka kwa Waingereza na kutuingiza vita visivyo na kichwa wala miguu vya Uganda, kitu gani cha maana alikifanya kwa taifa hili zaidi ya kuliacha taifa kwenye madeni na umaskini uliopindukia? 🤔
Kweli Nyerere kama kiongozi alikuwa na upungufu mwingi pamoja na kutuingiza kwenye ujamaa na vita na Amini. Aliachia Urais 1985 na Uenyekiti 1987 na kifo chake 1999. Hiyo ni miaka mingapi imepita na tutaendelea kumlaumu mpaka lini, au ndio uvivu kwa kufikiri.
 
Kweli Nyerere kama kiongozi alikuwa na upungufu mwingi pamoja na kutuingiza kwenye ujamaa na vita na Amini. Aliachia Urais 1985 na Uenyekiti 1987 na kifo chache 1999. Hiyo ni miaka mingapi imepita na tutaendelea kumlaumu mpaka lini, au ndio uvivu kwa kufikiri.
Unaelewa maana ya BABA WA TAIFA?

Hivi mtoto akipata malezi ya baba asiye na mbinu unatarajia upate mtu makini?
 
Watu hawajui Masai ni matajiri sana... Anafuga ng'ombe wa kutosha. Sasa kama vile lowasa alikuwa na exposure lazima Ile mifugo na mazao yake yalimletea fedha nyingi sana za kigeni.... TANU NA CCM ZILIKUWA HAZINA HELA YOYOTE YA KUIBWA...WIVU TU ULIKITHIRI KUONEA WIVU MATAJIRI NA WAJANJA
Tanzania haiwezi Kuruhusu kabila kuwa Rais 😆😆
 
Naomba nikurekebishe kidogo

1) Unasema wakati wa kumtangaza Benjamin Mkapa kuwa Mgombea Urais 1995 idadi ya kura haikutangazwa, si kweli kura zilitangazwa mara zote mbili, kwny duru ya kwanza JK aliwazidi Mkapa na Msuya na kwny duru ya Pili ya JK na Mkapa, Hayati Mkapa akaibuka kidedea

2) Cleopa Msuya hakuwa kwny Cabinet ya Mkapa na hata Edward Lowassa hakuingia kwny Cabinet kwny duru ya kwanza, baada ya miaka kama miwili ndipo Edward akateuliwa Waziri
Unaweza ukanipa idadi ya kura mkuu!
Maana nilichosema ni kuwa walitangaza washindi mshindi wa kwanza mpaka wa mwisho..
Kwa percent bila Kutangaza kura kwa idadi..
Au hukunielewa
 
Kuna utajiri wa bila kuwa mwizi? Masai si wanapora mifugo ya watu?
Utajiri unapatikana kwa kujituma au kurithi mkuu😅😅,
Sio Kila mtu kaiba..
Mfani nikiweka ki Laki tano changu kila mwezi nachokipata kwa kazi ya Boda boda..
Kwa Mwaka mmoja nitakuwa na Tsh Mil 6..

Nikataka Niende Bank kuchukua Pesa yangu MPAKA IKIFIKA MIAKA 15

Nitakuwa Na Mil 100 Hivi Sasa Nikiichukue Pesa yangu baada ya Miaka 15 nikafungua Biashara kubwa Utasema nimeiba wapi..

Kila mtu ana Story ya Mafanikio yake..
Tusikariri kila Tajiri ni mwizi..

Ngoja nikupe mfano mwingine..

Chukulia Raia mmoja ni Diaspora anakaza Sana analala kwa siku masaa matatu tu..
Paycheq yake kwa wiki tukadirie $1800
Kwa mwezi tukadirie 4500..
Akasema kila mwezi aweke 2000 hiyo nyingune 2500 alipe bills ..

Kwa mwaka atakuwa na 24,000..
Kwa miaka mitano atakuwa na $120,000
Ambayo ni sawa na 300mil za kitanzania..

Akija akaanzisha Successfull company utasema kaiba?
 
Huo utajiri aliupataje?
Lowasa amezaliwa kwenye Familia yenye pesa na mali pia Baba yake alikuwa mfanyakazi wa Serkalini..
Mali alizoachiwa kama mashamba na Mifugo aliendeleza na kuibadilisha kuwa mali..

Lowasa amehustle sana kufika hapo alipo kwa watu msiomjua ndo mnaweza mkaona ameiba...
Lowasa ameingia Tanu akiwa tayari na pesa
 
Back
Top Bottom