Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongozi wa nchi kama uraisi hatuwezi kumpa mtu ambae tuna mashaka nae mwakyembe aliweza kuweka ushahidi wote tena mbele ya bunge, sasa kwanini mnalazimisha , kwani lazima awe raisi??Kumbe hii kasumba ya mwenye pesa kuonekana mwizi imeanza kututafuna miaka mingi sana, kama unaamini mtu ameiba, na ushahidi unao, mpeleke mahakamani, shida iko wapi?!
Lakini kumnyima haki zake kwa madai ya kihisia, kwasababu tu anaonekana ana pesa ni kumuonea. Lowassa amevumilia mengi toka kwenye jamii ya kishamba iliyokuwa nyuma ya fikra zake za mitikasi ya kujitafuta maishani.
- Jamii inayoona umaskini ni sifa, ndio maana utaskia fulani akijiita mimi mtoto wa maskini. Usipokuwa jasiri mtanzania unaweza kuacha kupambania maisha yako kwa kuogopa kuitwa mwizi!.
Ajabu kuanzia miaka hiyo mpaka miaka ya karibuni bado akawa anaitwa fisadi, kumbe tumerithi tabia ya kuhukumu kwa hisia bila udhahidi toka enzi za Nyerere, tukawa bado tunaishi nayo mpaka sasa, hili ni tatizo la jamii ya kitanzania - awe mpinzani au chama tawala.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Aliwakataza kufanya hivyo na pia kingine hawakuwepo kwenye "mkataba wa Mwitongo.."Wakuu kwanini watoto wa hayati mwl nyerere hawapo kwenye system yani hateuliwi zile nyadhifa za juu kabisa kama watoto wa vigogo wengine?
Mkuu Mwakyembe hakuthibitisha kuwa Lowasa alifanya vile ila alithibitisha kumrfanyika ufisadi serkalini..Uongozi wa nchi kama uraisi hatuwezi kumpa mtu ambae tuna mashaka nae mwakyembe aliweza kuweka ushahidi wote tena mbele ya bunge, sasa kwanini mnalazimisha , kwani lazima awe raisi??
Kule Mbulu walimkataa mgombea wa Nyerere na kumchagua mgombea binafsi. Hata hiyo 1995 jina la Dr Slaa lilikatwa akahamia CHADEMA na kushinda. Hayati Mwalimu alikuwa na ishu za kiwaki sana linapokuja suala la uchaguzi.Ninachojua hapa Iringa Nyerere alimleta kijana wake Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine agombee ubunge tukamkataa mbele yake na hakufanya lolote
Tukamchagua Mkemia Mwakibasa wa NCCR mageuzi
Mwalimu alichukia wenye nacho. Alifikia kutamka kwamba mtu kuwa na nyumba za kukodisha ni unyonyaji. Kwa hoja hii akahalalisha kuchukua nyumba za watu.Kumbe hii kasumba ya mwenye pesa kuonekana mwizi imeanza kututafuna miaka mingi sana, kama unaamini mtu ameiba, na ushahidi unao, mpeleke mahakamani, shida iko wapi?!
Lakini kumnyima haki zake kwa madai ya kihisia, kwasababu tu anaonekana ana pesa ni kumuonea. Lowassa amevumilia mengi toka kwenye jamii ya kishamba iliyokuwa nyuma ya fikra zake za mitikasi ya kujitafuta maishani.
- Jamii inayoona umaskini ni sifa, ndio maana utaskia fulani akijiita mimi mtoto wa maskini. Usipokuwa jasiri mtanzania unaweza kuacha kupambania maisha yako kwa kuogopa kuitwa mwizi!.
Ajabu kuanzia miaka hiyo mpaka miaka ya karibuni bado akawa anaitwa fisadi, kumbe tumerithi tabia ya kuhukumu kwa hisia bila udhahidi toka enzi za Nyerere, tukawa bado tunaishi nayo mpaka sasa, hili ni tatizo la jamii ya kitanzania - awe mpinzani au chama tawala.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kama alikuwa na nguvu hizo mbona tunasikia alipenda sana Mzee Salim Ahmed Salim awe Rais baada yake, wenzie wakamkataa?Kumbe hii kasumba ya mwenye pesa kuonekana mwizi imeanza kututafuna miaka mingi sana, kama unaamini mtu ameiba, na ushahidi unao, mpeleke mahakamani, shida iko wapi?!
Lakini kumnyima haki zake kwa madai ya kihisia, kwasababu tu anaonekana ana pesa ni kumuonea. Lowassa amevumilia mengi toka kwenye jamii ya kishamba iliyokuwa nyuma ya fikra zake za mitikasi ya kujitafuta maishani.
- Jamii inayoona umaskini ni sifa, ndio maana utaskia fulani akijiita mimi mtoto wa maskini. Usipokuwa jasiri mtanzania unaweza kuacha kupambania maisha yako kwa kuogopa kuitwa mwizi!.
Ajabu kuanzia miaka hiyo mpaka miaka ya karibuni bado akawa anaitwa fisadi, kumbe tumerithi tabia ya kuhukumu kwa hisia bila udhahidi toka enzi za Nyerere, tukawa bado tunaishi nayo mpaka sasa, hili ni tatizo la jamii ya kitanzania - awe mpinzani au chama tawala.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hata Ali Hassan Mwinyi alipojiuzulu haikuwa kwa sababu alihusika na vifo vya mahabusu.Mkuu Mwakyembe hakuthibitisha kuwa Lowasa alifanya vile ila alithibitisha kumrfanyika ufisadi serkalini..
Akiwa kama Kiongozi wa serkali LOWASA ilibidi Ajiuzuru ili kulinda Heshima ya Rais Kikwete..
Ni kama Ilivyokuwa kwa Spika Ndugai..
Spka hakuwa na kosa kusema vile ila aliamua kujiuzuri ili kulinda Heshima ya SA100..
Tatizo letu wabongo hatujawahi.kujua Somo la siasa kuhusu Accountability na Responsibility pia
Baba wa taifa ni cheo gani kikatiba?Nyerere alikuwa Kiongozi na Baba wa Taifa au Unjisahaulisha Mkuu
Unauliza makofi polisi!!!yule mchonga ndyo aliyekuwa akituchagulia viongoziAlilikata Yeye kama nani mwaka huo 1995?
Hii taarifa wakina Mbowe na Lissu wanayo ?Lowasa alikuwa mwizi. Alipokuwa Tanu Youth League alifukuzwa kazi wakati huo akiwa kijana mdogo kabisa. Alirudishwa kijiweni makao makuu ya Chama Dar. Baadaye kina Sokoine walimtetea Lowasa kwa Mwalimu Nyerere na aliposamehewa akarudishwa kundini. Lowasa alikuwa mwizi na fisadi toka enzi
Kivip mkuuLowassa Ndio Godfather wa Siasa za Majitaka na Rushwa, hili litamuhukumu
Safi sana mkuu..Hata Ali Hassan Mwinyi alipojiuzulu haikuwa kwa sababu alihusika na vifo vya mahabusu.
😅😅🤣🤣Baba wa taifa ni cheo gani kikatiba?
We unajulikana ni dokta wa upumbavu. UpuuzweManeno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi..
Kama tutakumbuka mwaka huo huo waliochukua Form walikuwa 17 na walikatwa na wakabaki 15 bora mpaka 5 bora kwa Style ya 17 -15-10-5-3-2-1..
Kama Tutakumbuka tatu Bora ya mwaka huo ilikuwa Msuya,Kikwete na Mkapa..
Na baada ya Lowassa kukatwa Jina Lake Kambi ya EL ilihamiaa kwa JK..
kwahyo kukawa na kambi tatu kambi ya JK ,Kambi ya Msuya na Kambi ya Mkapa..
Ambapo baadae mshindi alitangazwa Mkapa bila kutaja Kura walizopata Wagombea..
View attachment 2903529
acha kujitoa akili na hizi diversion tactics, unaleta mbanga za waisrael ukipinga uhalifu wao, wanakulabel antisemite. Hakuna mtu mwenye shida na utajili wake, bali wizi wa mali za umma na wakihojiwa, madalali wanufaika wa michongo yao kama wewe, mnatetea kuwa watu wanachuki na matajiri. Yule chenge watu wakihoji wizi wake, ndio inakua wanamchukia kisa yeye tajiri. Mtu anayemtetea fisadi kama wewe mnapaswa kuchukiwa na kuadhibiwa vikali.Alikuwa mwizi au Tajiri kuna vitu huwa hamvielewi..
Ok sawa haina Tatizo mkuu lakini Tujikite kwenye Hoja Nafikiri Tutawza kujua nani mpumbavu nani mwerevu..We unajulikana ni dokta wa upumbavu. Upuuzwe