Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Ok sawa twende kwa hoja mkuu wangu..
UFisadi wake ni upi?

Nitajie ufisadi wake alioufanya mwaka 1995..
Na pia nitajie ufisadi wake alioufanya Muda wowote ule..

Kujiuzuru kwa ajili ya kuwajibika ni mawaziri na viongozi waadilifu pekee hufanga hivyo..

Kipindi cha Mwalimu watuhumiwa wengi sana walikufa walipokuwa wamewekwa mahabusu..
Kitemdo kile kilifanya Ali hassan mwinyi ajiuzuru uwaziri wa Mambo ya ndani..

Unataka kusema mwinyi aliwaua Mahabusu yeye?

Jifunze kuna kitu kinaitwa Accountability ni kuwajibika kutokana na nyadhifa uliyopo..

Tanzania ya Sasa inakosa uadilifu na accayntability..

Na ndo maana sishangai watu wanahoji kuhusu Lowasa kujiuzuru kama angebaki ingechafua Taswira ya Rais..

Umewahi kujiuliza kwanini Nyerere aling'atuka (Kujiuzuru urais) na Kuacha Tanzania?
 
Mkuu embu bold haya maelezo ili kila mtu asome mara kumi kumi na kuelewa huu ukweli.
 
Nyerere alimpitisha mkapa kibabe mbona iko wazi
 
Sio kweli nyerere alijitoa kwenye maamuzi alikuwa mshauri tu. Na kama angekuwa anaamua lowasa jk wasingekuwa mawaziri awamu ya mkapa
Ilikuwa ni Vigumu kumkwepa Lowasa kipindi hicho na kikwete kwa sababu walikuwa Wana watu wengi na makundi mengi ndani na nje ya Chama..

Kwahyo ili kupunguza makundi na maswali mengi ilibdi kuwapa hivyo vyeo kuwapoza watu..
Na ndo maana hata kina Msuya pia mshindi wa tatu nao walipewa uwaziri
 
Huwa sio hisia idara nyeti inakua na full details anazopewa Rais, kukushitaki ni maamuzi ya mtawala
 
Kijana ana pesa kuliko umri wake - Julius Nyerere 1995.
 
Kwanini hamkumpeleka mahakamani kwa ushahidi ili afungwe jela?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…