Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Marehemu hazungumzwi vibaya kwa mila za kiafrika. Hawezi kusimama na kujitetea tumuache apumzike kwa amani.Mkuu Mwakyembe hakuthibitisha kuwa Lowasa alifanya vile ila alithibitisha kumrfanyika ufisadi serkalini..
Akiwa kama Kiongozi wa serkali LOWASA ilibidi Ajiuzuru ili kulinda Heshima ya Rais Kikwete..
Ni kama Ilivyokuwa kwa Spika Ndugai..
Spka hakuwa na kosa kusema vile ila aliamua kujiuzuri ili kulinda Heshima ya SA100..
Tatizo letu wabongo hatujawahi.kujua Somo la siasa kuhusu Accountability na Responsibility pia
Huyu alipewa tu ushindi na Mwl.Ambapo baadae mshindi alitangazwa Mkapa bila kutaja Kura walizopata Wagombea..
Sie Bado sana
Wanamtupia lawama ili kukwepa majukumuKweli Nyerere kama kiongozi alikuwa na upungufu mwingi pamoja na kutuingiza kwenye ujamaa na vita na Amini. Aliachia Urais 1985 na Uenyekiti 1987 na kifo chake 1999. Hiyo ni miaka mingapi imepita na tutaendelea kumlaumu mpaka lini, au ndio uvivu kwa kufikiri.
Nyerere alikuwa Dikteta na EL alikuwa mpigaji. Huo ni ukweli kama unakuuma poleManeno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi..
Kama tutakumbuka mwaka huo huo waliochukua Form walikuwa 17 na walikatwa na wakabaki 15 bora mpaka 5 bora kwa Style ya 17 -15-10-5-3-2-1..
Kama Tutakumbuka tatu Bora ya mwaka huo ilikuwa Msuya,Kikwete na Mkapa..
Na baada ya Lowassa kukatwa Jina Lake Kambi ya EL ilihamiaa kwa JK..
kwahyo kukawa na kambi tatu kambi ya JK ,Kambi ya Msuya na Kambi ya Mkapa..
Ambapo baadae mshindi alitangazwa Mkapa bila kutaja Kura walizopata Wagombea..
View attachment 2903529
EL alikuwa mpigaji tofauti na wapigaji wengine??Nyerere alikuwa Dikteta na EL alikuwa mpigaji. Huo ni ukweli kama unakuuma pole
Walitumia madaraka kujipatia utajiri (RUSHWA)Wenzake wengine waliupataje?
EL hakuwa mpigaji tu alikuwa mwizi Na dhulmati just imagine alishawahi kumdhulumu wazori mkuu wake John Malecela RushwaNyerere alikuwa Dikteta na EL alikuwa mpigaji. Huo ni ukweli kama unakuuma pole
RIP Mwenyekiti wa zengweMwenyekiti wa kamati ya hilo Zengwe unamjua ?
Something aren't meant to be!Lowassa angekuwa Rais enzi hizo nchi ingefika mbali. Alikuwa na wealth mentality.
Mwaka wa 1995 ndo ulopanda mbegu za chuki na visasi kwenye siasa na wanasiasa wa Tanzania.Nyerere alimpitisha mkapa kibabe mbona iko wazi
Swali la kipuuzi hasa kama ni mtu uliyeishi enzi za mwalimuAlilikata Yeye kama nani mwaka huo 1995?
Tanzania haijawahi kuwa masikiniAlikuwa mwizi au Tajiri kuna vitu huwa hamvielewi..
Kulikuwa na pesa gani Huko CCM kipind cha TANU za kuibiwa
Ngoja waje kupinga ,unafikria CCM hawana akili mpaka wamkateLowasa alikuwa mwizi. Alipokuwa Tanu Youth League alifukuzwa kazi wakati huo akiwa kijana mdogo kabisa. Alirudishwa kijiweni makao makuu ya Chama Dar. Baadaye kina Sokoine walimtetea Lowasa kwa Mwalimu Nyerere na aliposamehewa akarudishwa kundini. Lowasa alikuwa mwizi na fisadi toka enzi
Mwakyembe yule ni zwazwaUongozi wa nchi kama uraisi hatuwezi kumpa mtu ambae tuna mashaka nae mwakyembe aliweza kuweka ushahidi wote tena mbele ya bunge, sasa kwanini mnalazimisha , kwani lazima awe raisi??
Hakuwa mwizi tu, lilikuwa jambazi.Lowasa alikuwa mwizi. Alipokuwa Tanu Youth League alifukuzwa kazi wakati huo akiwa kijana mdogo kabisa. Alirudishwa kijiweni makao makuu ya Chama Dar. Baadaye kina Sokoine walimtetea Lowasa kwa Mwalimu Nyerere na aliposamehewa akarudishwa kundini. Lowasa alikuwa mwizi na fisadi toka enzi