Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Mkuu Mwakyembe hakuthibitisha kuwa Lowasa alifanya vile ila alithibitisha kumrfanyika ufisadi serkalini..

Akiwa kama Kiongozi wa serkali LOWASA ilibidi Ajiuzuru ili kulinda Heshima ya Rais Kikwete..

Ni kama Ilivyokuwa kwa Spika Ndugai..
Spka hakuwa na kosa kusema vile ila aliamua kujiuzuri ili kulinda Heshima ya SA100..

Tatizo letu wabongo hatujawahi.kujua Somo la siasa kuhusu Accountability na Responsibility pia
Marehemu hazungumzwi vibaya kwa mila za kiafrika. Hawezi kusimama na kujitetea tumuache apumzike kwa amani.
 
Kweli Nyerere kama kiongozi alikuwa na upungufu mwingi pamoja na kutuingiza kwenye ujamaa na vita na Amini. Aliachia Urais 1985 na Uenyekiti 1987 na kifo chake 1999. Hiyo ni miaka mingapi imepita na tutaendelea kumlaumu mpaka lini, au ndio uvivu kwa kufikiri.
Wanamtupia lawama ili kukwepa majukumu
 
Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi..

Kama tutakumbuka mwaka huo huo waliochukua Form walikuwa 17 na walikatwa na wakabaki 15 bora mpaka 5 bora kwa Style ya 17 -15-10-5-3-2-1..

Kama Tutakumbuka tatu Bora ya mwaka huo ilikuwa Msuya,Kikwete na Mkapa..

Na baada ya Lowassa kukatwa Jina Lake Kambi ya EL ilihamiaa kwa JK..
kwahyo kukawa na kambi tatu kambi ya JK ,Kambi ya Msuya na Kambi ya Mkapa..

Ambapo baadae mshindi alitangazwa Mkapa bila kutaja Kura walizopata Wagombea..
View attachment 2903529
Nyerere alikuwa Dikteta na EL alikuwa mpigaji. Huo ni ukweli kama unakuuma pole
 
Lowasa alikuwa mwizi. Alipokuwa Tanu Youth League alifukuzwa kazi wakati huo akiwa kijana mdogo kabisa. Alirudishwa kijiweni makao makuu ya Chama Dar. Baadaye kina Sokoine walimtetea Lowasa kwa Mwalimu Nyerere na aliposamehewa akarudishwa kundini. Lowasa alikuwa mwizi na fisadi toka enzi
Ngoja waje kupinga ,unafikria CCM hawana akili mpaka wamkate
 
Lowasa alikuwa mwizi. Alipokuwa Tanu Youth League alifukuzwa kazi wakati huo akiwa kijana mdogo kabisa. Alirudishwa kijiweni makao makuu ya Chama Dar. Baadaye kina Sokoine walimtetea Lowasa kwa Mwalimu Nyerere na aliposamehewa akarudishwa kundini. Lowasa alikuwa mwizi na fisadi toka enzi
Hakuwa mwizi tu, lilikuwa jambazi.
 
Back
Top Bottom