Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Aha hii clip inahusu

-uhuru wa demokrasia
Ambapo katika Uhuru huo
mwalimu amegusia
uwepo wa
Uhuru wa wabunge Kama wajumbe waliotumwa na wanachi na wasizibwe midomo.

pia,mwalimu amegusia kuhusu,
viongozi wakuu (rais) asiingilie uhuru wa habari na maoni ya watu,
kwamba ikiwa akaona Jambo fulani halimpendezi Basi hakuna haja ya kutumia
dola (jeshi) kwa kutaka kuwafanya watu watii matakwa yake kwani jeshi c lake Bali Ni la wananchi

lingine mwalimu kagusia uwepo wa wanasiasa malaya.
.akisema hii Ni Aina ya wanasiasa ambayo huwa wananunulika na pia,uweza kufanya Mambo ya ajabu/aibu kwa ajili ya maslahi yao.

mwalimu kafika mbali na kusema kuwa,Hawa wanasiasa malaya,imefikia hatua na Kuona wenzao/wengineo nao ununulika na kuenda kuwashawishi..

lakini mwalimu katoa onyo na angalizo kwa wanasiasa malaya kuwa
Mwisho wao huwa Ni MBAYA SANA.

Ni hayo TU, kiongoz
Kuna watu wenye kujituma, wewe ni mmoja wao mkuu!

Kuwa na watu kama wewe kwenye jamii ni neema sana.
 
Mpaka mwisho wa maisha yangu,nitaendelea kumheshimu sana Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kwa bahati mbaya kwetu, viongozi wa aina yake hupatikana kwa nadra sana. Bahati yetu tulimpata huyo mapema, sijui tutampata mwingine wa aina yake miaka ipi!
 
By Ludovick Simon Mwijage.

In January 2005, the Catholic Church in Tanzania, announced that The Vatican had given approval that, Julius Kambarage Nyerere, the country's post-independence ruler-an autocratic one as it turned out-be called 'Servant of God'.

This approval paved the way for the Catholic Church in Tanzania to commence a formal investigation process, which, if found to be above reproach, would lead to the beatification of Mr Nyerere and ultimately to the official canonisation of this 'Servant of God' thereby declaring Julius Kambarage Nyerere a saint.

However, Ludovick Simon Mwijage, contends that proclaiming Nyerere a saint would not only make mockery of the ecclesiastical tradition that has for ages been a preserve for saintly people, but would also be dishonouring the memory of those who suffered and perished under Mr Nyerere's undoubted tyranny ( also, see THE DARK SIDE OF NYERERE'S LEGACY)
Does Mr Simon Mwaijage know what the word "tyranny" mean?

Is he the custodian and judge of the saintly qualities needed to qualify for sainthood?

From where, or who conferred to him the responsibilities of declaring who qualifies and who does not?
 
I know more Than mr Mwijage. I have and Still suffer because of this Laanatullahi
 
You probably deserved it, from the way you present yourself here!
This is what your father Laanatullahi taught you.

By their fruits you Will recognise Them.

These are fruits.
 
I know more Than mr Mwijage. I have and Still suffer because of this Laanatullahi
Si useme.......after all nani kakudanganya unaweza kufanya kitu chochote, hata kama ni kibaya na usipate madhara yoyote yale? Jaribu kuvuka mstari hata leo. Utasimamishwa
 
Si useme.......after all nani kakudanganya unaweza kufanya kitu chochote, hata kama ni kibaya na usipate madhara yoyote yale? Jaribu kuvuka mstari hata leo. Utasimamishwa
Mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi
 
Aha hii clip inahusu

-uhuru wa demokrasia
Ambapo katika Uhuru huo
mwalimu amegusia
uwepo wa
Uhuru wa wabunge Kama wajumbe waliotumwa na wanachi na wasizibwe midomo.

pia,mwalimu amegusia kuhusu,
viongozi wakuu (rais) asiingilie uhuru wa habari na maoni ya watu,
kwamba ikiwa akaona Jambo fulani halimpendezi Basi hakuna haja ya kutumia
dola (jeshi) kwa kutaka kuwafanya watu watii matakwa yake kwani jeshi c lake Bali Ni la wananchi

lingine mwalimu kagusia uwepo wa wanasiasa malaya.
.akisema hii Ni Aina ya wanasiasa ambayo huwa wananunulika na pia,uweza kufanya Mambo ya ajabu/aibu kwa ajili ya maslahi yao.

mwalimu kafika mbali na kusema kuwa,Hawa wanasiasa malaya,imefikia hatua na Kuona wenzao/wengineo nao ununulika na kuenda kuwashawishi..

lakini mwalimu katoa onyo na angalizo kwa wanasiasa malaya kuwa
Mwisho wao huwa Ni MBAYA SANA.

Ni hayo TU, kiongoz
asante
 
Back
Top Bottom