Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Kwa aina ya katiba aliyotuachia hata mjinga angeweza kutabiri hatma ya nchi hii!!!Sishangazwi na hilo kabisa!!
 
Usifikiri ni wapinzani tu ndiyo wanaonunulika, hata walioko ndani ya Serikali au Chama Tawala wanaweza kuwa na tabia hizo za kununulika ili wawasaliti wenzao wenye kuwa na Moyo wa kizalendo wanaotetea maslahi ya wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…