Yuko kwenye marekebisho ya blog.. nae sijui ataweka madole mekundu kama muke ya Muzungu
Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko
Ndo hivyooo acha wafu wazikwe na wafu wenzao
aje tu.na hivi kinje yupo mjini anamsubiria kwa hamu.
aje tu.na hivi kinje yupo mjini anamsubiria kwa hamu.
Yaani hawataniagi kwakweli.tunakuja kuambiwa tu ashatupwa mitaroni
Ndio lile lenye plate # iliyoandikwa kauthar?kuna siku nimepishana nalo migo mara kibao...
Ila julie mzur binamu
Hahahahaaaa. ... Mie Ikungulyabupina sikanyagi ng'oooo watanisikilizia kweny taarifa za habare
Mwenzangu ndo kaz ya wambea binamu
Hahahahaaaa ndio kijiji gani hicho jamaniiiiiii
Ukimuona live kafupi kama kigoda cha mchawi, macho sasa kama pumb* za mbwa mfyuu
Ukimuona live kafupi kama kigoda cha mchawi, macho sasa kama pumb* za mbwa mfyuu
aje tu.na hivi kinje yupo mjini anamsubiria kwa hamu.
NDo huo huo umbea binamu tunaoutaka sie, halafu nasikia ana mimba ya miezi mitatu