Jullie Dolls

Jullie Dolls

Mmeingia kwa mange jamani?nimecheka balaa anakuja bongo eti atakua anatembea na bodyguard ukisogea tu risasi ya kalio kama khanga moko

aje tu.na hivi kinje yupo mjini anamsubiria kwa hamu.
 
mmmhh....huyu nae ni selebriti??
Ni nani na anafanya/alishawahi kufanya nini?

Anyways nimependa nywele!
 
Ukimuona live kafupi kama kigoda cha mchawi, macho sasa kama pumb* za mbwa mfyuu

Bona huyu ndo babake aliwaambia wenzie wanafikiria kwa kutumia mat.a.ko...?
 
NDo huo huo umbea binamu tunaoutaka sie, halafu nasikia ana mimba ya miezi mitatu

Ile mimba ya safari ile aliipeleka wapiiii.?? Tunashangaa tu iliyeyuka na siku zilifika za kujifungua..kwanza ilikua mimba ya nani
 
Ana uzuri gani huyu. ...fake fake fakeee...kafuuupiiii km kigoda
 

Attachments

  • 1415740087105.jpg
    1415740087105.jpg
    50 KB · Views: 556
  • 1415740100937.jpg
    1415740100937.jpg
    55.2 KB · Views: 525
  • 1415740112777.jpg
    1415740112777.jpg
    45 KB · Views: 515
  • 1415740130322.jpg
    1415740130322.jpg
    49.6 KB · Views: 516
  • 1415740147684.jpg
    1415740147684.jpg
    61.9 KB · Views: 528
Back
Top Bottom