Jullie Dolls

Ana uzuri gani huyu. ...fake fake fakeee...kafuuupiiii km kigoda

Yaan huyu ndo mfupi hiviii atavaa high heels mpaka achoke,wengine tukivaa viatu virefu ni majinii,yaan hapo kavaa viatu lakini ni mfupi bado nikisimama nae hanifikii hata nikiwa na flat shoes,,,poyeeee kila mtu na kasoro zakee
Ila ana jicho zuriii teh teh
 

Hehe .jicho lipo...the rest hamna kitu...swali langu ile mimba ya mwanzo ilienda waapii mwenye kujua
 
Hehe .jicho lipo...the rest hamna kitu...swali langu ile mimba ya mwanzo ilienda waapii mwenye kujua

Mimi huyu nimemjua juzi tuu mwayaaa, warumi anamjuaaa
 
Last edited by a moderator:

Nimependa kucha,vidole,nywele na macho kazur sema huo ufup kwa kweli hapana, bwana ake mwenyew andunje mama nae andu mtoto sijui itakuwaje
 
Uzuri hana kwakweli,angalia picha ya chini.Halafu kasimama kama ataanguka sasa hivi,mfupi km mchezaji wa Pepe Kale.

Aaaaah!!! Hizo picha za chin n noumah, si akafanye surgery china aweke miguu mirefu ya plastic, maana huo ufupi hapana kwa kweli
 
Aaaaah!!! Hizo picha za chin n noumah, si akafanye surgery china aweke miguu mirefu ya plastic, maana huo ufupi hapana kwa kweli

Binamu inawezekana kufanya surgery miguu ikawa mirefu??mi hajanivutia miguu mifupi kama paja la bata.
 
Kwa uzuri hana hata robo uwadanganye wasomjua live mfupi sura ya kawaida sana alafu sio mweupe ivyo kama izo 360 zinavyomfanya

Anataka kutuingiza chaka hizo ni mbwembwe za 360 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…