Jullie Dolls

amemuunguza nani?

sisi wa huku Namtumbo tunamuaminia sana Muuza Sura kwa kutoa credit za wakali wa town!!

alisema yule bilionea wa Instagram hamjui,kweli ikagundulika sio bilionea!!

Muuza Sura njoo uthibitishe

:smile-big: umenifrahisha...sina code zake jullie dolls zaidi ya kujua ni pumziko la rummy...ila wote ndo walewale mademu wa kimjini aliyekubali kutulia na mshkaji!
 
:smile-big: umenifrahisha...sina code zake jullie dolls zaidi ya kujua ni pumziko la rummy...ila wote ndo walewale mademu wa kimjini aliyekubali kutulia na mshkaji!
Na huyo rummy ni bilionea au?

Halafu mkali hemed kazinguana nini na shetta?
 
Yaani wewe uko kama mimi...napenda hills jamani lakini urefu unaniponza nikivaa nakua kama jini yaani watu wananishangaa hadi naona aibu...
 
Ana uzuri gani huyu. ...fake fake fakeee...kafuuupiiii km kigoda

Hana uzuri wowote jamani pamoja na mashauzi yote hayo...hampati lulu hata robo japo kistuli mwenzie...
 
Hana uzuri wowote jamani pamoja na mashauzi yote hayo...hampati lulu hata robo japo kistuli mwenzie...

Ila anamdhalilisha babake kwa umalaya...kamesoma mpk form ngapI haka...ameshindwa kukaendeleza
 
Ila anamdhalilisha babake kwa umalaya...kamesoma mpk form ngapI haka...ameshindwa kukaendeleza

Hata sijui...nasikia hapendi kuitwa jina la baba yake...hataki ajulikane kama ni mwanae
 
Hana uzuri wowote jamani pamoja na mashauzi yote hayo...hampati lulu hata robo japo kistuli mwenzie...

Kila mtu ana uzur wake, lulu ni mzur kwa namna yake ila ukija kwa julie nae ana mvuto wake unaoongezwa na makeups pamoja na camera za simu bei mbaya
 
Hehe .jicho lipo...the rest hamna kitu...swali langu ile mimba ya mwanzo ilienda waapii mwenye kujua

Mimi nimependa mpododo 2 mbna baba yke tall au alishikishwa nini haiwezekani dad bonge l mtu mtoto majanga hivi kuna ulakini kashkishwa
 
Ile mimba ya safari ile aliipeleka wapiiii.?? Tunashangaa tu iliyeyuka na siku zilifika za kujifungua..kwanza ilikua mimba ya nani

inasemekana aliichomoa ilikuwa ya huyohuyo bwana ake
 
inasemekana aliichomoa ilikuwa ya huyohuyo bwana ake

Mimba kubwa ile ya kujufungua atoe?? Inawezekana mtoto alifariki ....maana mpk siku anaenda jifungua alipost insta....tukashangaa ziiiiii
 
Mimba kubwa ile ya kujufungua atoe?? Inawezekana mtoto alifariki ....maana mpk siku anaenda jifungua alipost insta....tukashangaa ziiiiii

inawezekana mjini kuna mengi bibie..sie yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…