Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Na huyo rummy ni bilionea au?
Halafu mkali hemed kazinguana nini na shetta?
rummy siyo bilionea ila mzigo anao.....hemed mkinondoni sana!hana rafiki zaidi ya gelly wa rhymes!miaka ya nyuma alijaribu ushkaji na diamond akamgongea diamond mpaka leo hata salamu hawapeani!hao watoto kina petit man sijui rommy jones ndo kabisaaaa hazipandi!

Asante japo mie sio kashotii kama huyo. LohHahahaaaaa pole mwaya
Hana uzuri wowote jamani pamoja na mashauzi yote hayo...hampati lulu hata robo japo kistuli mwenzie...
Asante japo mie sio kashotii kama huyo. Loh
Hivi lulu ni mfupi au mtoto?
Hivi lulu ni mfupi au mtoto?
Mhhh mwenzangu huyo kazidi...
Huyo nae kwa huo ufupi alikula hasara kwakweli, mi ningekuwa hivo sijui hata ningekuwa navaeje yaani......maana wengine hayo mavazi ya kidada duu yeshatupitaga kushoto!
Nywele hizo laki nane tu binamu, upo apo??
Kazi imeanzaaaa
Naona mnyukano umeshaanza hapo.
Muache shost yangu bana
Ni shosti ako kumbe... Kama hana ngoma hebu ni PM namba yake. Nimeuza kiwanja cha ukoo kule Masaki juzi ati
Hhhhhhaaaaaaa,tukawekee heshima bar eee ngoja nimuiteee
Ana ngoma na bendi kibao
Vyote tu mi nitawasikiliza nyie mabebeezzz...