Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Na huyo rummy ni bilionea au?
Halafu mkali hemed kazinguana nini na shetta?
rummy siyo bilionea ila mzigo anao.....hemed mkinondoni sana!hana rafiki zaidi ya gelly wa rhymes!miaka ya nyuma alijaribu ushkaji na diamond akamgongea diamond mpaka leo hata salamu hawapeani!hao watoto kina petit man sijui rommy jones ndo kabisaaaa hazipandi!