Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha

Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi

Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina

Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
 
Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel,Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
Acha gubu. Wapi kasema yeye mchambuzi? Je maswali anayoulizwa ni technical au anaonhea kwa uzoefu wake kama mchezaji?

Ebu tuliza hilo fuvu mkuu.
 
Hao huwa wanaingia hapo kama wageni waalikwa ku-support wachambuzi kutokana na kuutumikia mpira wetu na ndio maana siku nyingine unaweza ukamwona Kaseja au wachezaji wengine
Hata hao akina Kiemba walianza hivyo hivyo ila wakatendea haki huo mwaliko mpaka wakawa wachambuzi
Sasa mbaalikaje mtu hajui kujieleza
 
Huu wivu
Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel,Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
Hautakufikisha sehemu yoyote ile
 
Hata mimi niliona ni mbovu kwenye uchambuzi hana hata ujanja ujanja wa kuficha madhaifu yake.....Jeff Leah amecheza ball ila sio levo kubwa nimewahi muona akipiga ball pale karume akiwa kati ya Azam Media vs Clouds media jamaa anapiga danadana kibao.
 
Back
Top Bottom