Acha gubu. Wapi kasema yeye mchambuzi? Je maswali anayoulizwa ni technical au anaonhea kwa uzoefu wake kama mchezaji?Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel,Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
Hata hao akina Kiemba walianza hivyo hivyo ila wakatendea haki huo mwaliko mpaka wakawa wachambuziHao huwa wanaingia hapo kama wageni waalikwa ku-support wachambuzi kutokana na kuutumikia mpira wetu na ndio maana siku nyingine unaweza ukamwona Kaseja au wachezaji wengine
Hautakufikisha sehemu yoyote ileSio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel,Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
Ndo utulie sasaSiwezi ndio maana niko kijijini kwanga kizura mimba nalima mbaazi
Pole pole ndio mwendo mkuuHata hao akina Kiemba walianza hivyo hivyo ila wakatendea haki huo mwaliko mpaka wakawa wachambuzi
Sasa mbaalikaje mtu hajui kujieleza
Alafu huyu kocha wa yanga mbona kavaa tie nyekundu?
Shadeeya huyu kocha wenu vipi mbona kama ana support simba 🤣🤣🤣
Kabsaa sheikh wangu huyo jamaa kamkataa sababu ya udini tu.Acha udini wewe inakuuma kisa ni muislamu? Angekuwa mkristo ungemsema?