Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
Wewe utakua ni Mmawia kutoka Msumbiji manake kiswahili kinakugonga ugoko kweli kweli..Hata hao akina Kiemba walianza hivyo hivyo ila wakatendea haki huo mwaliko mpaka wakawa wachambuzi
Sasa mbaalikaje mtu hajui kujieleza
Hata Kiemba alianza kwa makosa akajifunza na kuwa hivi unavyomuona leo, tumpe muda.Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha
Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi
Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina
Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
nilikuwa namsikiliza kaseja akichambua game ya Simba na Constantine aise yule jamaa hata kujieleza itakuwa tabu kiujumla uchambuzi na kucheza mpira ni viwili tofauti ,big up kwa Amri kiembaKucheza, kuchambua na hata kuufundisha ni taaluma tofauti hizoo.