Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kubadili sheria ni jambo moja lkn kama katiba itabakia kuwa hii hii inayomfanya rais kuwa Mungu mtu hakutakuwa na jipya.kubadili sheria ya uchaguzi, na kurekebisha sheria ya Msajili wa vyama vya Siasa.
Vipindi vyangu vyote huwa nafanya bure. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, silipwi na yeyote.Pascal uko vizuri,tugawane hayo maokotoo...unawaka sana..!!
Vipindi vyangu vyote huwa nafanya bure. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, silipwi na yeyote.
P.
mbona niko very consistency!, Pasco ni yule yule juzi, jana na leo.Long time ukiwa consistency itakulipa.
mbona niko very consistency!, Pasco ni yule yule juzi, jana na leo.
P
Pascal Mayalla, unaayaamini maneno ya mwenyekiti wa ACT Wazalendo aliyoyapokea kutoka kwa mwenyewe wa Chama Cha Mafisadi?Wanabodi
Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan anazochukua kuimarisha demokrasia nchini ambapo kikao cha Bunge cha mwezi October, kitapokea miswada 3 ya kubadili Sheria, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, kubadili sheria ya uchaguzi, na kurekebisha sheria ya Msajili wa vyama vya Siasa.
Juma Duni ameomba serikali itoe ratiba ya utekelezaji".
Msikilize Babu Duni.
View: https://youtu.be/YLjwcGPwzO8?si=cVk4I0D3d30aL32F
Paskali
Wakiamua kushusha tanga mwami akavue dagaa tuIla kaka unawapenda sana ACT...
Strategic watakuwa ACT kweli?
Subir wapemba wawavuruge uone kama hicho chama kitakuwepo... waulize CUF.
Kubadili sheria ni kitu kingine na utekelezaji ni kitu ingine kbs!!Wanabodi
Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan anazochukua kuimarisha demokrasia nchini ambapo kikao cha Bunge cha mwezi October, kitapokea miswada 3 ya kubadili Sheria, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, kubadili sheria ya uchaguzi, na kurekebisha sheria ya Msajili wa vyama vya Siasa.
Juma Duni ameomba serikali itoe ratiba ya utekelezaji".
Msikilize Babu Duni.
View: https://youtu.be/YLjwcGPwzO8?si=cVk4I0D3d30aL32F
Paskali
Asante kwa ushauriHii program nafikiri ni mpya Kaka? This will pay u in long run.
Kwanini umesema hivyo ?.Ila kaka unawapenda sana ACT...
ACT wako very strategic , Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi KuwapuuzaStrategic watakuwa ACT kweli?
Haya nitawauliza CUF.Subir wapemba wawavuruge uone kama hicho chama kitakuwepo... waulize CUF.
Mmmhh, ni kwamba hatukuoni wala kujua ulivyokuwa huko nyuma? Kwa taarifa yako binadamu huwa kuna namna anajijua, na namna anavyojulikana. Unavyotaka tukujue sio ulivyo.mbona niko very consistency!, Pasco ni yule yule juzi, jana na leo.
P
Kwa vile kuna watu wanawajua watu kuliko wanavyo jijua wenyewe, mimi ninajijua na wanaonijua wananijua ila pia ni rukhsa kumdhania mtu vyovyote utakavyo mdhania.Mmmhh, ni kwamba hatukuoni wala kujua ulivyokuwa huko nyuma? Kwa taarifa yako binadamu huwa kuna namna anajijua, na namna anavyojulikana. Unavyotaka tukujue sio ulivyo.
Laiti ungemsikiliza Babu Duni, ungemsikia faraja yao ni kwenye lipi.Wanafarijika kabla ya kujua mabadilisho gani yatafanyika?
Amandla...
ACT wako very strategic ila hawana mvuto kwa watu. Ukitaka kujua nenda kaangalie uchaguzi mdogo wa Mbarali, CDM hawashiriki uchaguzi wote umekosa mvuto. Hizo strategic za ACT ndio zilitakiwa impact yake ionekane kwenye chaguzi hizi.Kwanini umesema hivyo ?.
ACT wako very strategic , Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Haya nitawauliza CUF.
P