Juma Duni "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo; ACT Tumefarijika Sana na Rais Samia Kubadili Sheria, Tunaomba Ratiba ya Utekelezaji

Kitu kitu muhimu kuliko kitu chochote kwa taifa lolote ni watu wake, na uhai wao, kitu kikubwa kuliko kitu kingine chochote ni katiba yao na , na hitaji kubwa kuliko hitaji lolote ni haki na usawa.
Nimejitolea kuwapiga watu humu darsa la katiba Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani? katiba imetoa haki fulani ambazo Watanzania wamedhumiwa.
P
Swali la msingi , katika video yako umemalizia kwa hoja kwamba Wazanzibar watatendewa haki.

Ndiyo maana nauliza, kwani wanadhulumiwa wapi?

Pili, haki na usawa ''fair and equitable' nimeijadili sehemu fulani kwa undani sana
In fact Tanganyika ndio wanapaswa kudai haki na usawa, si Zanzibar. Hivi unaweza kudai haki mgongoni kwa mtu

Anyways labda una mtazamo mwingine, tusiondoke kwenye swali la Msingi , kwani Wazanzibar wanaonewa wapi? Wananyimwa usawa upi, na wanakosa haki gani?
 
Swali la msingi , katika video yako umemalizia kwa hoja kwamba Wazanzibar watatendewa haki.

Ndiyo maana nauliza, kwani wanadhulumiwa wapi?

Anyways labda una mtazamo mwingine, tusiondoke kwenye swali la Msingi , kwani Wazanzibar wanaonewa wapi? Wananyimwa usawa upi, na wanakosa haki gani?
Mkuu Mkuu Nguruvi3, kuna msemo usemao numbers don't lie!. Wazanzibari wanapiga kura 5, kuchagua Sheha, mjumbe wa BLW, Mbunge wa Bunge la JMT, Rais wa Zanzibar na Rais wa JMT. Matokeo ya Rais wa JMT na mbunge wa Bunge la JMT yanatangazwa na NEC, matokeo ya sheha, Mwakilishi na rais wa Zanzibar ni ZEC, there are always discrepancies between idadi ya wapiga kura kati ya matoleo ya NEC na ya ZEC, matokeo ya NEC yanapaswa kuwa juu zaidi ya ZEC kwasababu kila Mtanzania lazima amchague rais wa JMT, hivyo Watanzania Bara walioko Zanzibar wanapiga kura moja tuu ya NEC wanamchagua rais tuu wa JMT.

Matokeo ya kweli ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, ni mimi niliyatangaza nikiwa Channel Ten, ZEC wakatoa matokeo yao 4 days later!.

Uchaguzi wa 2015 ZEC walifuta matokeo NEC hawakufuta the numbers didn't lie!, nikasema humu Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Hivyo sasa 2025 haki Zanzibar itatendeka!.

Mkuu nimekupata kama unaongelea suala hili. I'll be blunt on this! Wazanzibar wana matatizo ya ku focus kwa Tanganyika kama tatizo lao kubwa. Watatumia muda mwingi sana kutukana na kuwasumanga Watanganyika bila kujua tatizo lipo ndani yao.

Wazanzibar wana structure kama Baraza la Wawakilishi, Serikali na vyombo vingine. Regardless of their political affiliation wana uwezo wa kuondoa udhia tofauti na Tanganyika ambako hakuna serikali wala uwakilishi.

Kwanini wana focus kwa Tanganyika? Jibu ni rahisi, wanakwepa ukweli wa tofauti zao.
Ndiyo maana kuna Mapinduzi Daima na Mapinduzi Haramu

Mfano, suala la Katiba mpya ambalo kwao limekuwa la siku nyingi, kama CCM Kisiwandui na ACT Wazalendo wangeungana na kusema hawatashiriki mchakato wa viraka, Katiba ingepatikana
Kama Wabunge wao wangesema hawaji Dodoma hadi mchkato wa katiba uanze , Katiba ingepatikana

Nilisikia Wazanzibar wakisema kwenye space na club house kwamba Tanganyika ni watu milioni 60 kwahiyo wana nguvu zaidi. Nilijua ni ukosefu wa elimu tu unawasumbua.

Tanganyika haipo wazi na hivyo haina structure. JMT ni Tanganyika, haiwezi kujipinga kutokana na mkoroganyo

Zanzibar wapo 1.5M lakini wana nguvu sana katika Muungano. Kwa mfano, kwa uchache wao bado wana 2/3 ya maamuzi kwa baadhi ya Mambo Bungeni.

Wanaweza kutoshiriki Bunge la Dodoma kwa shinikizo na Bunge lisiendelee kwasababu bila wao halitimii kwa mantiki na akidi achilia mbali kikatiba

Wana SMZ inayoweza kusimamia mambo, wana Baraza la Wawakilishi.
Vyombo vyote vinaweza kufanya mambo kama tukio la Katiba ya 1984 toleo la 2010 ambalo limeifanya katiba hiyo kuwa KUU kuliko ya JMT na hakuna anayefanya jambo.

Kwanini wanashindwa kufanya mambo, ni kwasababu wamekuwa obsessed na Tanganyika, na viongozi wao hawasemi ukweli kwamba kuna 'nyufa' miongoni mwao.
Njia rahisi ni kuhamishia matatizo yao Tanganyika na kusahau kwamba wao wenyewe si wamoja, nitty gritty
 
Mkuu nimekupata kama unaongelea suala hili. I'll be blunt on this! Wazanzibar wana matatizo ya ku focus kwa Tanganyika kama tatizo lao kubwa. Watatumia muda mwingi sana kutukana na kuwasumanga Watanganyika bila kujua tatizo lipo ndani yao.
Ni kweli Wanzanzibari wanatusimanga sana, mara ya kwanza kukanyaga Zanzibar was a school trip kwa boti, ile tunafika Zanzibar pale bandarini tunazomewa "machogo" hao!. Wanaona matatizo yao yote ni muungano, ila wanasahau ni muungano ndio umewasaidia sana kuwa wamoja, baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kama sio Nyerere kuingilia kati kumdhibiti Karume, angeweza hata kujenga concentration camps na kufanya ya Hitler!.
Wazanzibar wana structure kama Baraza la Wawakilishi, Serikali na vyombo vingine. Regardless of their political affiliation wana uwezo wa kuondoa udhia tofauti na Tanganyika ambako hakuna serikali wala uwakilishi.
Tanganyika is dead tuna Tanzania bara ndani ya koti la muungano.
Kwanini wana focus kwa Tanganyika? Jibu ni rahisi, wanakwepa ukweli wa tofauti zao.
Ndiyo maana kuna Mapinduzi Daima na Mapinduzi Haramu
True wao kwa wao ni wabaguzi sana na hawachangamani
Mfano, suala la Katiba mpya ambalo kwao limekuwa la siku nyingi, kama CCM Kisiwandui na ACT Wazalendo wangeungana na kusema hawatashiriki mchakato wa viraka, Katiba ingepatikana
Kama Wabunge wao wangesema hawaji Dodoma hadi mchkato wa katiba uanze , Katiba ingepatikana
I'm a bit sceptical!
Nilisikia Wazanzibar wakisema kwenye space na club house kwamba Tanganyika ni watu milioni 60 kwahiyo wana nguvu zaidi. Nilijua ni ukosefu wa elimu tu unawasumbua.
It's true Zanzibar wana more privileges za muungano kuliko wa Bara.
Tanganyika haipo wazi na hivyo haina structure. JMT ni Tanganyika, haiwezi kujipinga kutokana na mkoroganyo
...
Zanzibar wapo 1.5M lakini wana nguvu sana katika Muungano. Kwa mfano, kwa uchache wao bado wana 2/3 ya maamuzi kwa baadhi ya Mambo Bungeni
It's true ila hii haifuatwi, tulipopitisha mchakato wa katiba na tume ya Warioba, waliisahau the Zanzibar factor, Tume ilipofika Zanzibar kukusanya maoni, iligomewa!. Hili lilamalizwa kimya kimya kwa kuitishwa kikao cha Baraza la Wawakilishi, wakaridhia ndipo tume ya Warioba ikaanza kukusanya maoni, ndipo nikagundua kumbe katiba ya Zanzibar imejitangaza Zanzibar ni nchi, sheria yoyote itakayotungwa na Bunge la JMT kuihusu Zanzibar, inahesabiwa ni foreign law, lazima ifanyiwe ratification na BLW ndipo itumike Zanzibar!. This is nonsense!.
Wanaweza kutoshiriki Bunge la Dodoma kwa shinikizo na Bunge lisiendelee kwasababu bila wao halitimii kwa mantiki na akidi achilia mbali kikatiba
True!.
Wana SMZ inayoweza kusimamia mambo, wana Baraza la Wawakilishi.
Vyombo vyote vinaweza kufanya mambo kama tukio la Katiba ya 1984 toleo la 2010 ambalo limeifanya katiba hiyo kuwa KUU kuliko ya JMT na hakuna anayefanya jambo.
Kiukweli kabisa this is nonsense!. Katiba ya JMT inasema Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania bara na Tanzania Visiwani, Tanzania Zanzibar, kwa mujibu wa katiba yetu, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya Tanganyika!.

Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi, na ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!.
Kwanini wanashindwa kufanya mambo, ni kwasababu wamekuwa obsessed na Tanganyika, na viongozi wao hawasemi ukweli kwamba kuna 'nyufa' miongoni mwao.
Njia rahisi ni kuhamishia matatizo yao Tanganyika na kusahau kwamba wao wenyewe si wamoja, nitty gritty
Kiukweli kabisa hizi nitty gritty za Zanzibar ni pasua kichwa!.
P
 
Pachal ...mimi i dont trust ACT
Mambo ya trust ni mambo ya imani, hivyo inawezekana intuition yako inakuambia kitu cha ukweli kuwa they should not be trusted au it could be just an apathy against Zitto kufuatia dhana ya usaliti kwenye ule waraka wa mabadiliko, kuna watu wanadhani waraka ule ni kazi ya ZZK!, it's not!.
Hivyo usije kuwa you don't trust ACT kwasababu you don't trust Zitto

Ushauri wangu ni hata kama you don't trust ACT but sikiliza hoja zao.

Ni sawa sawa lakini .....kusikiliza hoja zao na tukijua wazi hawako kama wanavyosema ...au hawako maslahi ya upinzani ...huoni mkuu kuwa tunapoteza muda kuwaamini ACT ?naomba nisaidie kunijibu..... Upinzani wa kweli ni huu wa sasa au zamani au tutegemee kizazi kijacho ? Ni kweli nchi 2 tu zimebakia....Tz na Zim ambapo vyama vya ukombozi bado vinatawala na vitatawala muda mrefu sana ? Hata katiba mpya ni michezo itachezwa kusogeza muda sana....hadi kipindi cha mwisho mwisho wa utawala wa alieko madarakani...kumuachia mwenzake....nae ataogopa atasogeza hadi mwisho mwisho amuachie mwenzake ? ....
 
Tanganyika is dead tuna Tanzania bara ndani ya koti la muungano.
Siyo mimi ninayesema ni Katiba ya JMT 1977 ' Tanzania Bara ni eneo lote lililokuwa Jamhuri ya Tanganyika...''
Kwa mfano , Pascal Mayalla kuna nyakati anaitwa Pasco. Je, majina hayo yanamfanya awe pakali Tofauti?
Kule kijijini wanamwita Paskali, nyumbani wanamwita Pasco and Shuleni walimwita Pascal. He's the one and the same.
It's true Zanzibar wana more privileges za muungano kuliko wa Bara.
Siyo privileges tu wamepewa ukuu sana. Kwa mfano nani anahoji Zanzibar inachangia nini katika Muungano.
Kila kitu kinachofanywa kuhusu Zanzibar ni kuwapendelea tu, angalia makubaliano ya kero ! hakuna hata moja inalomfanidisha Mtanganyika. Hivi kero ya kuruhusu Azam kuingiza maziwa nayo inahitaji hati ya makubaliano!

Utawasikia tugawane hiki na kile, hutawasikia tuchangie nini katika Muungano.
Hadi pale Watakapokuwa na mchango katika muungano kuna kila sababu ya kuitwa kupe
It's true ila hii haifuatwi, tulipopitisha mchakato wa katiba na tume ya Warioba, waliisahau the Zanzibar factor, Tume ilipofika Zanzibar kukusanya maoni, iligomewa!. Hili lilamalizwa kimya kimya kwa kuitishwa kikao cha Baraza la Wawakilishi, wakaridhia ndipo tume ya Warioba ikaanza kukusanya maoni, ndipo nikagundua kumbe katiba ya Zanzibar imejitangaza Zanzibar ni nchi, sheria yoyote itakayotungwa na Bunge la JMT kuihusu Zanzibar, inahesabiwa ni foreign law, lazima ifanyiwe ratification na BLW ndipo itumike Zanzibar!. This is nonsense!.
Kuna suala la sheria za Muungano kutofanya kazi Zanzibar na hata mahakama ya Rufani imewekewa mpaka wa mambo ya kujadili. Swali, kwanini Zanzibar inahitajika katika mahakama ya Rufaa! ni ili wapate ajira za majaji

Pale Dodoma waliovimbiwa allowance hawajadili mambo mazito kama haya, wanasubiri Mbowe atoe kauli utasikia mjengo unaunguruma utadhani dunia inafika ukomo. Tuna tatizo la umasikini lakini umasikini wa akili ni mkubwa sana.

Sasa hivi tunajadili namna ya kuwalipa mafao Wapenzi waliofunga ndoa zao wenyewe halafu wakaishi kwa gharama zetu sasa wanataka tuwazadie kufanya mapenzi na kuzaa watoto wao! stupid

Watu wanashindwa klipa Toto Bima, lakini nchi ina pesa za kulipa Wapenzi! Yaani tunawapongeza kwa kuoana tena tukiwahdumia waume zao maisha yao yote! Hivi kweli wenza wa viongozi ni tatizo la nchi hii!!
Kiukweli kabisa this is nonsense!. Katiba ya JMT inasema Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania bara na Tanzania Visiwani, Tanzania Zanzibar, kwa mujibu wa katiba yetu, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya Tanganyika!.

Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi, na ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!.
Ndiyo maana tunahitaji Katiba ili Tanganyika iamue hatma yake kwasababu sasa hivi imebaki yenyewe kama Tanzania na inatumiwa sana na Wazanzibar kwa kila kitu. Tanganyika imechoshwa na Ufadhili!
Muungano ni kushirikiana hawa wenzetu ni Mzigo
 
Wanabodi

Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan anazochukua kuimarisha demokrasia nchini ambapo kikao cha Bunge cha mwezi October, kitapokea miswada 3 ya kubadili Sheria, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, kubadili sheria ya uchaguzi, na kurekebisha sheria ya Msajili wa vyama vya Siasa.

Juma Duni ameomba serikali itoe ratiba ya utekelezaji".

Msikilize Babu Duni.

View: https://youtu.be/YLjwcGPwzO8?si=cVk4I0D3d30aL32F

Paskali

sasa ulisifia nini Pascal? CCM hawawezi kuachia nchi kwa uchaguzi..........nilijua na nimetoa harsh comment kwako maana kwa level yako unajua fika kuwa ccm haiwezi kuleta tume huru maana wanajua ikiwepo wanaondoka....
Tatizo la Tume yetu ya uchaguzi ni tume huru ila ilikuwa sio shirikishi!, kwenye muswada huu bado sijauona huo ushirikishi, hivyo huu ni mvinyo ule ule wa zamani ila kwenye chupa mpya!.

Nitamtafuta tena Duni Haji niongee nae baada ya miswada kuwasilishwa.

P
 
Back
Top Bottom