Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Kwanini umesema hivyo ?.
ACT wako very strategic , Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Nasema hivyo kwasababu, takribani Miaka 10 sasa upo very affirmative na siasa za Zitto,
Turudi kwenye hoja yako ya Strategic movements za ACT.
1. Ukiacha notable members wa CDM wanayoipa nguvu ya kitaifa waliojiunga nayo, na wale wengine waliovurumishwa CUF imeeahi recruit new member mwaka gani, for over ten yrs to date.
2 . Kwenye makala yako, Kuna member una mquote kwamba ACT inaweza recruit young blood kama CDM , unaweza onyesha progress yeyote to date.
3. Kuna hoja kwamba watu wakikataliwa na vyama vingine wangejiunga nayo 2015, Kuna lililotokea?
4. Kuna any significant political rally ZZK amewahi fanya Tanzania Bara toka ACT ianzishwe? Hata kwa try and error.
5.ZZK anajiunga na watesi wake kupalilia mbegu ambayo amekuwa akiandamwa nayo muda mrefu, kwanini habadiliki na wala hajifunzi?...
ACT can become better and do better, ila trust kwa wananchi ni ndogo mno... unless otherwise... time will tell.