Juma Duni Haji adai yeye na Lowassa walishinda Urais 2015

Ni kweli kabisa, soma hii ya Profesa Tibaijuka

 
Unajua kua Rais au kiongozi yoyote kufia madarakani ni laana,mikosi na nuksi.
Yaani maana yake huyo hakukubaliwa na Mungu.
Tena kwa kifo cha aibu kama hivyo.
 
Mfumo wenyewe ndio wale wa Masaki !
Napenda kukufahamisha kua Rais au kiongozi Mkuu wa nchi asie Mfalme kufia madarakani ni udhaifu,ni laana,mikosi na nuksi.ni kwamba huyo hakukubaliwa na Mungu.
Mungu akitaka umfanyie kazi yake atakuweka uishi ukiwa kiongozi.

R.I.P lowasa waliokuibia waliondolewa na Mungu.
 

Hili mbona lipo wazi sana?

Ila swahiba wake ana roho ngumu sana, unawezaje kumfanyia ubaya rafiki yako, aliyekusaidia ukatimiza ndoto zako ila wewe unapambana kukatisha zake?

Mh. Lowassa au mimi namwita Role Model wa maisha ya wengi, maisha yake yamenifunza kamwe usije muamini au mtegemea rafiki, binadamu anabadilika muda wowote, kuwa rafiki na nafsi yako mwenyewe na hili mimi ndio nguzo ya maisha yangu, sina rafiki zaidi ya familia yangu, dunia hii rafiki wako wa kweli ni familia yako..!!
 
Muongo tu huyu. Ndio jadi yake uongo
 
Ogopa sana watu wa pwani, waswahili, hawaaminiki
 
nilicho gundua siasa pia siasa ni upumbavu kama dini

watu wana uchungu wa kibwege bwege

hadi unashangaa
 

Hili mbona lipo wazi sana?

Ila swahiba wake ana roho ngumu sana, unawezaje kumfanyia ubaya rafiki yako, aliyekusaidia ukatimiza ndoto zako ila wewe unapambana kukatisha zake?
Yule jamaa ni mnafiq sana na tabasamu lake la kichawi,ndiyo maana hadi leo anaanguka anguka kama kuku mwenye kideri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…