Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Enyi wagalatia Ni Nani aliyewaroga mpaka kushabikia Mambo ya kipuuzi?
 
Hakika ila pia tuna imani sasa dada yupo kwenye mikono salama
Naomba huu mwaka ukiisha salama ni tag..... Wangapi wamevishwa pete? Na siku ya harusi hawakutokea? Umewahi jiuliza mbona wapo akina Dada wanatembea na pete za uchumba huu mwaka wa 9 ? Wakitoboa nitafute na unitag [emoji847]
 
Mkuu tukatae tukubali mapenzi yana sehemu kubwa sana kwenye maisha yetu na Mungu alitupa hilo jambo jema si kosa kufurahia kupendwa au kupenda by the way kuna pesa na mapenzi vyote ni muhimu.
 
Mkuu tukatae tukubali mapenzi yana sehemu kubwa sana kwenye maisha yetu na Mungu alitupa hilo jambo jema si kosa kufurahia kupendwa au kupenda by the way kuna pesa na mapenzi vyote ni muhimu.
 
Niko karibu na juma jux,jamaa yuko good wala hajaumia halaf pia haimuumi sana coz demu mwenyewe vee kakauka hana nyama kabsa,asaiv yuko njiani kubwaga manyanga kwa mimimars
 
Inategemea mliachana vipi lakini..
 
Umeongea vice versa, asa demu hujawahi kupiga anakuumaje kwa mfano? Kinachoumaga ni maupendo ya dhati aliyokupa anaenda pewa mwingine.
Mabaharia tunaumiaga Kwa mwanamke ambae hatujapiga tuu.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yani demu ambae hujapiga anaumiza Sana akikuacha yani unakuwa unajiuliza hivi Yuko na mbususu ya Aina Gani.. hahahahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…