screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Mashabiki wa mapenzi ya watu mnateseka kuliko Jux mwenyewe
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazo zote.Hivi kwenye simu yako unazo nyimbo ngapi za Jux?
Naomba huu mwaka ukiisha salama ni tag..... Wangapi wamevishwa pete? Na siku ya harusi hawakutokea? Umewahi jiuliza mbona wapo akina Dada wanatembea na pete za uchumba huu mwaka wa 9 ? Wakitoboa nitafute na unitag [emoji847]Hakika ila pia tuna imani sasa dada yupo kwenye mikono salama
Mkuu mbona kama hupendi mafanikio ya watu ?Soma hii Bwana Harusi atoweka saa chache kabla ya harusi, Bi Harusi aangua kilio
Halafu utuletee huu upupu
Mkuu tukatae tukubali mapenzi yana sehemu kubwa sana kwenye maisha yetu na Mungu alitupa hilo jambo jema si kosa kufurahia kupendwa au kupenda by the way kuna pesa na mapenzi vyote ni muhimu.Karne hii ya 21,Bado Kuna wanawake wanajivunia kuolewa/kuchumbiwa!!what a shame!ingekuwa ina maana zaidi Kama Vmoney angekuwa amepiga deal kubwa la mkwanja mrefu,Ili awe model kwa dada zetu nyumbani,sasa Kama Vmoney na exposure aliyonayo ameona kuvalishwa pete,ndio jambo kubwa la kuwaambia wadogo zake wa kike,hapa bongo,sasa hebu fikiria wale wasio hata na ajira wataishi vipi?

Atakufa na stressJux haamini chezo alilochezewa
Jamaa show off ooh nimenunua helikopta Mara Benz kumbe bibie kamchanganya mazima.Atakufa na stress
Inategemea mliachana vipi lakini..Inauma sana kumuona mwanamke uliye kuwa unagalagazana nae kitandani kimahaba, uliyekuwa unamkiss kimahaba na kumwambia nakupenda na yeye anaishiwa maneno ya kukwambia anabakia kukutazama kwa mahaba zaidi na kukukumbatia kwa upendo.
Halafu umuone huyu mwanamke katika mikono ya mwanaume mwingine akifanya yale yale mliyokuwa mkifanya. Mbaya zaidi now wanafunga uchumba kabisa..... Inauma sana.
Mabaharia tunaumiaga Kwa mwanamke ambae hatujapiga tuu.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umeongea vice versa, asa demu hujawahi kupiga anakuumaje kwa mfano? Kinachoumaga ni maupendo ya dhati aliyokupa anaenda pewa mwingine.