Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

Hakika ila pia tuna imani sasa dada yupo kwenye mikono salama
Naomba huu mwaka ukiisha salama ni tag..... Wangapi wamevishwa pete? Na siku ya harusi hawakutokea? Umewahi jiuliza mbona wapo akina Dada wanatembea na pete za uchumba huu mwaka wa 9 ? Wakitoboa nitafute na unitag [emoji847]
 
.
IMG_20200412_172731.jpg
 
Karne hii ya 21,Bado Kuna wanawake wanajivunia kuolewa/kuchumbiwa!!what a shame!ingekuwa ina maana zaidi Kama Vmoney angekuwa amepiga deal kubwa la mkwanja mrefu,Ili awe model kwa dada zetu nyumbani,sasa Kama Vmoney na exposure aliyonayo ameona kuvalishwa pete,ndio jambo kubwa la kuwaambia wadogo zake wa kike,hapa bongo,sasa hebu fikiria wale wasio hata na ajira wataishi vipi?
Mkuu tukatae tukubali mapenzi yana sehemu kubwa sana kwenye maisha yetu na Mungu alitupa hilo jambo jema si kosa kufurahia kupendwa au kupenda by the way kuna pesa na mapenzi vyote ni muhimu.
 
Niko karibu na juma jux,jamaa yuko good wala hajaumia halaf pia haimuumi sana coz demu mwenyewe vee kakauka hana nyama kabsa,asaiv yuko njiani kubwaga manyanga kwa mimimars
 
Inauma sana kumuona mwanamke uliye kuwa unagalagazana nae kitandani kimahaba, uliyekuwa unamkiss kimahaba na kumwambia nakupenda na yeye anaishiwa maneno ya kukwambia anabakia kukutazama kwa mahaba zaidi na kukukumbatia kwa upendo.

Halafu umuone huyu mwanamke katika mikono ya mwanaume mwingine akifanya yale yale mliyokuwa mkifanya. Mbaya zaidi now wanafunga uchumba kabisa..... Inauma sana.
Inategemea mliachana vipi lakini..
 
Umeongea vice versa, asa demu hujawahi kupiga anakuumaje kwa mfano? Kinachoumaga ni maupendo ya dhati aliyokupa anaenda pewa mwingine.
Mabaharia tunaumiaga Kwa mwanamke ambae hatujapiga tuu.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Yani demu ambae hujapiga anaumiza Sana akikuacha yani unakuwa unajiuliza hivi Yuko na mbususu ya Aina Gani.. hahahahhh
 
Back
Top Bottom