Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Kweli mwanangu uko sahihi mia mia!!
 
Angeweza kununua benz 10 au zaidi kwa cost ya rolce royce 1 pamoja na kodi!
Sio kumi 10 tu kuwa na heshima mzee...angenunua 10 halafu chenji inabaki , hiyo chenji anaenda kuzipiga rims kali zaidi, na plate number ile custom anaita "Diamond 1", "Diamond 2", "Diamond 3"....mpaka "Diamond 10" halafu chenji inabaki anaenda kuzipiga hata seat cover kali halafu chenji inayobaki anazipeleka "Service B" na bado chenji inabaki atajua mwenyewe aifanyie nini 🤣
 
Heheheheh watu wanafanya mchezo na 1.5B
 
Hii ni taxi hata palestine mkuu niliziona
 
Mc hammer kufulia kulitokana na muziki anaoufanya kupitwa na wakati na yeye akashindwa kufit katika genre mpya ya gangsta rap.

Tyson ni matokeo ya promoter Don King.


Hapana ndugu. Usemayo yawezakuwa yalichangia lakini ukweli jamaa hawa walifulia kutokana na matumizi mabovu ya anasa na kushindwa kujitawala. Hammer kwa mfano, maisha ya anasa na kamari yalimmaliza kabisa.

Cheki hapa kufilisika kwa McHammer

 
Mtoa mada hapendi maendeleo ya Mond. His post (s) says it all.
1. Ulimsifia Jux kwamba kamzidi Mond kimaisha
2. Uwoya kapanda uber RR
3. Hii post

Mwanaume weee? Yatakuja yakushinde mchana kweupe.
Tunaomba utuombe radhi wanaume wote kwa udhalilishaji uliotufanyia.

Huyu si mwanaume mwenzetu.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…