Juma Jux kanunua helikopta. Hii vita ya Juma Jux, Diamond Platnumz haiwezi

Jux anaishi life lake ila watu ndo wanataka kutengeneza hiyo league. Kwa upande wengu natamani tuwe hata na wasanii 10 wenye mafanikio kama Diamond au zaidi yake ili game iajiri na kuwapa space watu wengi zaidi
Tatizo ni wabongo sasa kwani wanataka tuwe na wasanii 10 wenye mafanikio basi......... Roho zetu ni nyeusi sana
 
Mtag extrovet ndio mambo yake haya...
 
Tangu mmeanza kumtamkia kushuka angeshashuka zamani ni muda wake na kama ni ndago basi kaitumia Kali mno he is unstoppable msijijisumbue....
 
Ila tyson kakaza mpaka leo kawa tajiri tena na nasikia mkewe ndio mpango mzima mpaka jamaa kurudi tena kwenye utajiri....
Anauza bangi na kuandika simulizi
Usifurahi juu yanguuu... Niangukapo mimi.. Nitasimama tena...!!!
 
Siyo kila mtu anakosoa mondi kisa kamzidi kuna watoto wa mabosi wenu humu mondi kibaka tuu
 

Attachments

  • Screenshot_2021-07-24-11-42-10-28_2768c6f3dd71c987876b7b9730ce2453.jpg
    19.4 KB · Views: 1

Kwani mwijaku unatakaje?
 

Nmesoma quote zako za huko juu nkaona kama zimo
Ila hapa ndio umekuja kuvuluga
Afu kwanin unachagua quote za kujibu[emoji23][emoji23]
Ndugu yangu instagram wewe tafuta hera ule bia ulale
Haya mambo huyawezi
 
Hivi nyie mnaoishi ughaibuni mtujuze hivi hata watu wa huko kama wasanii wakinunua city vyao huwa wanatabia kama za kina diamond za kutangaza tangaza au hizi tabia ni za waafrica hususani wale waliokuwa maskini na wakapata utajiri
Kamuulize lily wyne
 

Ngoja nikukumbushe utopolo uliwahi kuandika katika uzi wako mmoja hivi!
Tuone matapishi yako utayatumia kutawaza ai utayala...
 
Siyo kila mtu anakosoa mondi kisa kamzidi kuna watoto wa mabosi wenu humu mondi kibaka tuuView attachment 1866727
Unateseka sana, ungejua huyo dogo simjui na nimeha Tz labda kabla hata hajazaliwa.
Issue hapa ni evil hearts, yaani watu wanaoumia na progress za watu. Hustler yoyote huwa ana appreciate hustles za wengine sasa pale wivu(au choyo kama wasemavyo Unguja) huwa zinakera hasa pale mtu anapokuwa amefikia point ya kuwa obsessed na hate. Ni kama back in the days unapita sehemu unakuta mtoto anaonewa bila sababu then unaingia kati kumkingia kifua.
Hizo fake chats haziwezi kuondoa ukweli ya kuwa he is the most successful Tz artist by far na si leo wala kesho atakuja kutokea japo wa kumkaribia.
We only live once, let's enjoy life to the fullest.
 
Hivi nyie mnaoishi ughaibuni mtujuze hivi hata watu wa huko kama wasanii wakinunua city vyao huwa wanatabia kama za kina diamond za kutangaza tangaza au hizi tabia ni za waafrica hususani wale waliokuwa maskini na wakapata utajiri
Yaani ndiyo watangaza na kupiga kelele, phot shoot na kurusha dollars huku wakichukuliwa videos.
Bongo hakuna anayeweza kufanya show-off kama za mbele hasa za blacks.
 
Elimu elimu elimu...dahhh...hiv ile helicopter unajua gharama yake...nchi yako tanzania tu hazifik hata10 kama ze
 
Tatizo ni wabongo sasa kwani wanataka tuwe na wasanii 10 wenye mafanikio basi......... Roho zetu ni nyeusi sana
tatizo hilo mkuu, hatuamini kuwa tunaweza kuwa na watu hata 10 juu pasipo kumshusha yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…