Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Kuna mda una refresh mkuu IQ ya mtu si rahis kushuka kwa vitu kama hivyi kwahy ukiona kituko au kichekeshi utashindwa kucheka au utafumba macho kuogopa watu wakikuona watakuona wewe IQ yako ndogo?
Asikupangie mtu kitu Cha kuandika huwezi soma heading na mainbody afu mtu ana comment ujinga,

Tuletee Khabar za watoto wa mjini
 
Hawa ndo watu ambao Dr Kisenge wa JKCI kasema watapimwa bure moyo na kupatiwa matibabu. Upuuzi mtupu
 
Huyu jamaa kutoka ntwara misambwanda itamcost maana hapoi akimalizana na huu anatafuta mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…