Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

Ni akina nani watu hawa?, wana impact gani kwenye jamii? nijuzeni tafadhali
 
Harmonize itamtumia muda mrefu kurudi katika nafasi yake.

Hana endorsement hata moja. Anategemea kiki za wanawake ndo zimpatie air time .
 
Hebu serikali iingilie kati huo ugomvi ikiwezekana wawapatanishe,iundwe tume maalum 😄 ikiwezekana bunge liwasimamie

Ova
 
Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha wa Hamronize ili warudiane

Juma alienda na bango lilosema kajala hataki shobo ndipo ugomvi ulipozuka vuta ni kuvute ikawa kubwa sana

Kilichonishangaa ni shekheee kuwa mc kuhalalisha zina na kuwa mstari wa mbele kabisa kutangaza huku dini yao ikikataa na kulaani zinaa how comes shekhee anaenda kwenye vitu kama vile?
Wanaume kabisa wanafanya mambo ya kisenge
 
Back
Top Bottom