Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis
swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia mafanikio na ni moja ya tabia ya walio watanzania wengi
Kwenye maisha hakuna jambo utakalopata kirahis rahisi na kama ukilipata kirahis basi gharama yake ni kubwa sana na pengine halitadumu na pia tusiwe tunapenda shortcut
Kama hamtaki hersi ni vizuri angeomba mahakama iiamuru Yanga iitishw uchaguzi ili achaguliwe yeye na wanachama na sio kutaka kuchukua madaraka na kumiliki assets zote za timu kirahis rahisi
Kwa misimu mitatu yanga ina makombe matatu ya ligi na matatu ya fa, imefika fainal ya kombe la shirikisho huko nyuma haijawahi na wamefika robo fainal ya club bingwa africa kwa haya mafanikio ya Yanga ni ngumu sana kwa mshabiki wa Yanga kukuamini Juma magoma sababu namba hazidanganyi hata kama unahoja za msingi
Magoma anahaki ya kutoa malalamiko yake ila vita aliyoichagua sio rahisi hata kidogo ni ngumu sana kwake na aliyeko nyuma yake