Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakimu hayupo pale kuthibitisha jambo lolote, yeye yupo kuamua kilicholetwa mezani.Hiki kitu hata mimi nimekiwaza kwa muda mrefu sana kiasi cha kuutafakari weredi wa Hakimu aliyetoa hiyo hukumu!
Je, hakujua kama hao wazee wameghushi saini za baadhi ya wadhamini wa klabu?
Je, kulikwa kuna ugumu gani wa kuwapa taarifa ya kuitwa mahakamani kujitetea hao walioichukua klabu kinyume na katiba ili na wenyewe wajitetee!!
Na kwa nini aliiendesha hiyo kesi kimya kimya, na wakati inagusa maslahi ya wananchi walio wengi nchini (mashabiki, wanachama na wadau wa michezo)?
Hii kofia ndo inampa kiburi alhaji Magoma, wahuni wa Buza Mpalanger wakipita nayo , kwisha habari yake!