Hiki kitu hata mimi nimekiwaza kwa muda mrefu sana kiasi cha kuutafakari weredi wa Hakimu aliyetoa hiyo hukumu!
Je, hakujua kama hao wazee wameghushi saini za baadhi ya wadhamini wa klabu?
Je, kulikwa kuna ugumu gani wa kuwapa taarifa ya kuitwa mahakamani kujitetea hao walioichukua klabu kinyume na katiba ili na wenyewe wajitetee!!
Na kwa nini aliiendesha hiyo kesi kimya kimya, na wakati inagusa maslahi ya wananchi walio wengi nchini (mashabiki, wanachama na wadau wa michezo)?