[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ndio maana tunaopenda muziki ni watu wa rhumba hayo matakataka yenu tunawaachia wenyewe msanii hajui hata kutunza sauti, pumzi ya kuimba hana kazi piga kelele na mikono juu hiyo ndio starehe yenu.
Walimuita akakataa wakaachana nae akaenda kusema alivyodharauliwa. Hakuna sehemu Wasafi wameenda lalamika kuhusu kukosekana kwake.Sielewi tunachoargue hapa ni kipi....
Umeulizia streams nimekwambia alikuwepo before technologies.
Pia Nature hakwenda wasafi kuomba shoo, ikieleweka hivi hutopata tabu.
Why walimuita in the first place?
Walikuwa wanamuonea huruma?
Ukisikiliza interviews nyingi za salam Sk, sio genius kama Ruge ila ni aggressive tu ndio maana hata Dizzim TV and online hakuna kinachoendelea kwa sababu hana mind hiyo..Nawaambia watu hapa ishu ni mtu sahihi wa kuku guide kuelekea huko. Diamond alishakuwa na mtaji na kipaji cha kutengeneza hela tu. Aliwa bypass clouds kwa kuwa na mtu sahihi tu ambaye ni Salam SK. Njia walioitumia ya kuweka kazi kwenye platforms za online ndio imewapa hela na Youtube imesaidia sana kuji brand na kujiuza duniani.
Unaandika Mengi ambayo mimi sijaandika.Walimuita akakataa wakaachana nae akaenda kusema alivyodharauliwa. Hakuna sehemu Wasafi wameenda lalamika kuhusu kukosekana kwake.
Why walimuita? Sababu ni msanii.
Walikuwa wanamuonea huruma? Sivyo, waliitaka appearance yake kwenye event na wamlipe. Value yake wakaona ni 500k na akaona haifai.
Why unalazimisha awepo kisa aliitwa mwanzoni? Wamlete mtu kisa heshima wakati value ya anachokitoa wanaona ni ndogo kuliko price yake?
Brands kubwa Tanzania kama Tigo, Vodacom, TBL, Serengeti, CRDB, NMB, Cocacola wakiwa wanatoa deals za wasanii umeona wanawatafuta kina Mr. Nice, Johari, Wema Sepetu, Chidi Benz kwa heshima kisa walikuwa maarufu zamani?
Mtazamo wa kibiashara na kunyanyua mikono juu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Tena peke yake na huwa pia akimaliza show hua naondoka na kijiji kama kuna ambao hawajaimba wanakosa watazajamiKwenye trend ndio wapi?
Unaelewa hata vibe la show?
Nature anaweza asiwe kwenye top ten zenu za kwenye maredio ila hao wote walioshika namba za juu wasiweze kumfikia kwenye show tena kwa ngoma zile zile za miaka ya nyuma.
Unamfahamu vzur??Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa Juma Nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa.
Hawaelewi mtoto idd itakuwaWa kiwango cha lami,
Utajiitaje mtoto wa mjini halafu usimjue Mzee wa Hakuna kulala, lazima uwe Mluga luga tu
Kwa akili zako ni sawa,Siyo kweli,Hata ukiita wasanii bora ishirini hapa nchini yeye hatakuwepo.alishaapitwa na wakati,
Unakumbuka zamani kwenye show anakuwa wa mwisho maana akianza tu anasepa na kijiji,watoto hawawezi kuelewaShida yeye ni legend na ana wapenzi wengi wa nyimbo zake kwa hio ni kivutio cha show mwingine anaenda kwenye show kumuona Nature tu akiperfom alafu basi akishuka na yeye anaondoka au hujui?
Ndio hivyo hawa watoto mashabiki wa 'Chino wa manyani' sio 'Chino PNC' hawawezi kukuelewa wengine hata hawakua wamezaliwa kipindi hicho kwa hio tuwasamehe bureUnakumbuka zamani kwenye show anakuwa wa mwisho maana akianza tu anasepa na kijiji,watoto hawawezi kuelewa
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Billnas anaimba bora hata darasaBillnas ana jina kubwa kuliko nature kwasasa labda ungeniambia nature wa zamani Ndio Maana Wasafi wamemvalue kwa hiyo hela
Simaanishi kwamba anastahili kulipwa laki tano, mimi mwenyewe naona ni ndogo kwake.Unaandika Mengi ambayo mimi sijaandika.
Kaulizwa na shabiki yake kajibu ukweli.
"Walimuita kwa kuwa walitaka appearance yake" wakati huohuo unasema nature sio relative.
Wangeweza hata kumuita O ten, why Nature?
They know, atakacho offer.
Since ni Huduma, nature anavalue huduma yake as anaona yeye inafaa.
Hajaomba heshima ya mtu, anataka tu hela.
Mpeni hela.
Umpe Nature laki tano? Acheni masihara nyie......
Umeongea ukweli mtupu!!piga keleleee,nyanyua mikono juu , kushoto,kulia, kushoto,kulia say oyooooo..... What the hell??? Nature apumzike Sasa afanye mipango mingineSasa uende kufanya nini sehemu umelipa pesa yako uangalie show matokeo yake unaishi kuambiwa piga kelele, mikono juu halafu nyimbo ya msanii badala ya yeye ndio akuimbie añalazimisha washabiki ndio muimbe, ujinga mtupu.
Kama huyo Nature akishalewa Balimi nyimbo zenyewe anasahau mistari.
Hawa Wakongwe Sugu yuko makini sana, Profesa Jay, Gangwe Mob nao walikiwasha kisawasawa concert ya mwisho ya Legends honour.
Nature live performance na vyombo hamna kitu, ukimuona Chizi benze jukwaani anavyopiga makelele huwezi kuamini kama Dar stand ni nyimbo yake.
Msanii bora ni yule tu anayeweza kukupa fleva ileile ambayo unaisikia redioni na akiwa live on stage update fleva ile ile.
Then, tunaongea kitu kimoja ila tu maneno ndio tofauti.Simaanishi kwamba anastahili kulipwa laki tano, mimi mwenyewe naona ni ndogo kwake.
Nachopinga ni watu kulazimisha aitwe na apewe hela anayotaka, au watu kuona ni kosa kumpa ofa ya 500k. Kama ana fanbase hivyo basi muandaaji amchukue wapige hela.
Wasafi wako kwenye biashara, dau lao limewekwa kibiashara sio kiheshima kama mnavyotaka.
Hizo heshima wasanii mnawapa na hela hawana
AsanteUtoto huo