Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Sir Nature alikuwa zama hizo, nakumbuka mwaka 2004 walikuja wanaume family mapanga sha...wakiongozwa na nature pale ndani mabibo hostel , vibe lake lilikuwa si la kitoto...zama zimebadilika hana nyimbo mpya iliyochangamka kama nyimbo zake za enzi hizo kwa hiyo awe mpole tu laki 5 si haba labda ka ana madili mengine makubwa zaidi.
 
Sielewi tunachoargue hapa ni kipi....
Umeulizia streams nimekwambia alikuwepo before technologies.
Pia Nature hakwenda wasafi kuomba shoo, ikieleweka hivi hutopata tabu.
Why walimuita in the first place?
Walikuwa wanamuonea huruma?
Walimuita akakataa wakaachana nae akaenda kusema alivyodharauliwa. Hakuna sehemu Wasafi wameenda lalamika kuhusu kukosekana kwake.

Why walimuita? Sababu ni msanii.

Walikuwa wanamuonea huruma? Sivyo, waliitaka appearance yake kwenye event na wamlipe. Value yake wakaona ni 500k na akaona haifai.

Why unalazimisha awepo kisa aliitwa mwanzoni? Wamlete mtu kisa heshima wakati value ya anachokitoa wanaona ni ndogo kuliko price yake?

Brands kubwa Tanzania kama Tigo, Vodacom, TBL, Serengeti, CRDB, NMB, Cocacola wakiwa wanatoa deals za wasanii umeona wanawatafuta kina Mr. Nice, Johari, Wema Sepetu, Chidi Benz kwa heshima kisa walikuwa maarufu zamani?

Mtazamo wa kibiashara na kunyanyua mikono juu ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Nawaambia watu hapa ishu ni mtu sahihi wa kuku guide kuelekea huko. Diamond alishakuwa na mtaji na kipaji cha kutengeneza hela tu. Aliwa bypass clouds kwa kuwa na mtu sahihi tu ambaye ni Salam SK. Njia walioitumia ya kuweka kazi kwenye platforms za online ndio imewapa hela na Youtube imesaidia sana kuji brand na kujiuza duniani.
Ukisikiliza interviews nyingi za salam Sk, sio genius kama Ruge ila ni aggressive tu ndio maana hata Dizzim TV and online hakuna kinachoendelea kwa sababu hana mind hiyo..

Sasa angewezaje kuwa na mind ya kupambana na mtu kama ruge aliyeisimamisha clouds na THT,

Ila point kubwa uliyoiongea, Diamond anajua kuwapa thamani anaofanya nao kazi kwa kutaka waneemeke wote. Kuanzia dancers, wasanii hadi managers ndo maana tale na fella hawana muda na tip top wala mkubwa na wanawe maana diamond sio mchoyo 😁
 
Walimuita akakataa wakaachana nae akaenda kusema alivyodharauliwa. Hakuna sehemu Wasafi wameenda lalamika kuhusu kukosekana kwake.

Why walimuita? Sababu ni msanii.

Walikuwa wanamuonea huruma? Sivyo, waliitaka appearance yake kwenye event na wamlipe. Value yake wakaona ni 500k na akaona haifai.

Why unalazimisha awepo kisa aliitwa mwanzoni? Wamlete mtu kisa heshima wakati value ya anachokitoa wanaona ni ndogo kuliko price yake?

Brands kubwa Tanzania kama Tigo, Vodacom, TBL, Serengeti, CRDB, NMB, Cocacola wakiwa wanatoa deals za wasanii umeona wanawatafuta kina Mr. Nice, Johari, Wema Sepetu, Chidi Benz kwa heshima kisa walikuwa maarufu zamani?

Mtazamo wa kibiashara na kunyanyua mikono juu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Unaandika Mengi ambayo mimi sijaandika.
Kaulizwa na shabiki yake kajibu ukweli.
"Walimuita kwa kuwa walitaka appearance yake" wakati huohuo unasema nature sio relative.
Wangeweza hata kumuita O ten, why Nature?
They know, atakacho offer.
Since ni Huduma, nature anavalue huduma yake as anaona yeye inafaa.

Hajaomba heshima ya mtu, anataka tu hela.
Mpeni hela.

Umpe Nature laki tano? Acheni masihara nyie......
 
Kwenye trend ndio wapi?

Unaelewa hata vibe la show?

Nature anaweza asiwe kwenye top ten zenu za kwenye maredio ila hao wote walioshika namba za juu wasiweze kumfikia kwenye show tena kwa ngoma zile zile za miaka ya nyuma.
Tena peke yake na huwa pia akimaliza show hua naondoka na kijiji kama kuna ambao hawajaimba wanakosa watazajami

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Shida yeye ni legend na ana wapenzi wengi wa nyimbo zake kwa hio ni kivutio cha show mwingine anaenda kwenye show kumuona Nature tu akiperfom alafu basi akishuka na yeye anaondoka au hujui?
Unakumbuka zamani kwenye show anakuwa wa mwisho maana akianza tu anasepa na kijiji,watoto hawawezi kuelewa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Unakumbuka zamani kwenye show anakuwa wa mwisho maana akianza tu anasepa na kijiji,watoto hawawezi kuelewa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo hawa watoto mashabiki wa 'Chino wa manyani' sio 'Chino PNC' hawawezi kukuelewa wengine hata hawakua wamezaliwa kipindi hicho kwa hio tuwasamehe bure
 
Unaandika Mengi ambayo mimi sijaandika.
Kaulizwa na shabiki yake kajibu ukweli.
"Walimuita kwa kuwa walitaka appearance yake" wakati huohuo unasema nature sio relative.
Wangeweza hata kumuita O ten, why Nature?
They know, atakacho offer.
Since ni Huduma, nature anavalue huduma yake as anaona yeye inafaa.

Hajaomba heshima ya mtu, anataka tu hela.
Mpeni hela.

Umpe Nature laki tano? Acheni masihara nyie......
Simaanishi kwamba anastahili kulipwa laki tano, mimi mwenyewe naona ni ndogo kwake.
Nachopinga ni watu kulazimisha aitwe na apewe hela anayotaka, au watu kuona ni kosa kumpa ofa ya 500k. Kama ana fanbase hivyo basi muandaaji amchukue wapige hela.
Wasafi wako kwenye biashara, dau lao limewekwa kibiashara sio kiheshima kama mnavyotaka.

Hizo heshima wasanii mnawapa na hela hawana
 
Sasa uende kufanya nini sehemu umelipa pesa yako uangalie show matokeo yake unaishi kuambiwa piga kelele, mikono juu halafu nyimbo ya msanii badala ya yeye ndio akuimbie añalazimisha washabiki ndio muimbe, ujinga mtupu.

Kama huyo Nature akishalewa Balimi nyimbo zenyewe anasahau mistari.

Hawa Wakongwe Sugu yuko makini sana, Profesa Jay, Gangwe Mob nao walikiwasha kisawasawa concert ya mwisho ya Legends honour.

Nature live performance na vyombo hamna kitu, ukimuona Chizi benze jukwaani anavyopiga makelele huwezi kuamini kama Dar stand ni nyimbo yake.

Msanii bora ni yule tu anayeweza kukupa fleva ileile ambayo unaisikia redioni na akiwa live on stage update fleva ile ile.
Umeongea ukweli mtupu!!piga keleleee,nyanyua mikono juu , kushoto,kulia, kushoto,kulia say oyooooo..... What the hell??? Nature apumzike Sasa afanye mipango mingine
 
Simaanishi kwamba anastahili kulipwa laki tano, mimi mwenyewe naona ni ndogo kwake.
Nachopinga ni watu kulazimisha aitwe na apewe hela anayotaka, au watu kuona ni kosa kumpa ofa ya 500k. Kama ana fanbase hivyo basi muandaaji amchukue wapige hela.
Wasafi wako kwenye biashara, dau lao limewekwa kibiashara sio kiheshima kama mnavyotaka.

Hizo heshima wasanii mnawapa na hela hawana
Then, tunaongea kitu kimoja ila tu maneno ndio tofauti.
Sisemi Nature apewe Heshimaq
Nachopinga mimi ni watu kulazimisha Nature akubali 500k.
 
Back
Top Bottom