Dot com hawamjui Sasa alipwe sawa na Jux.Legend kama yeye anapewaje laki tano, kweli dharau aisee.
Aahaaaa, alitaka shs ngapi?Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu...
Miye ningeichukuaUsafiri upo wamekodi ma bus. Hotel wanalipiwa ya kulala na chakula free
Juma nature kazi yake ku perform tu nusu saa
Nature hana shida wewe, kawekeza, hiyo hela apewe chidy benz teja ila sio kiroboto, Aache miradi yake akakaushe koo kwa laki 5 hapo ukute wanalazwa gest za elfu 5.Nature ni mpumbavu angeenda Mikoa mitano angekuwa na Milioni 3 kasoro na stipend za kutosha... Muhim n Mshahara wa Kwanza mengine unamwambia boss kuwa umenilipa ila haitoshi
Aahaaaa, nimeupenda huo msemoJukwaani watu hugewa muda.
Mfano dk 20 au 15 kila mmoja...
Ni mkulima wa maharage wilayani Mbogwe, tafara ya Kashelo hapa kijijini Mjegejo..🙂Huyo juma ndio nani kwanza?
Washamba wengi humu hawamjui Nature, wala sio utoto ni vile kipindi hicho wao walikua sigimbi wanalima magimbi,Jukwaani watu hugewa muda.
Mfano dk 20 au 15 kila mmoja.
This means angeifanya kazi labda ya dk 30 kwa kulipwa laki tano.
Sasa tatizo ni kwamba Nature anaamini kwa huo muda yeye anatakiwa labda kulipwa milioni 5 kwakua hiyo siku anayogoma kwenda alitengeneza hicho kiasi kwa dakika hizo hizo.
Hichi kiasi ndicho Clouds walikua wanalipa wasanii wote wanaokuja kwenye show spesho kwa eneo husika tu na siyo wanaozunguka na show Tz nzima.
Nature ni legend yeah lakini umewahi sikia "If it doesnt make money, it doesnt make sense"?
Nimeshangaa sana mkuu. Yani dogo anauliza mzee wa ugali ni nani? Hajui historia ya Kujaza ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga.Hili jukwaa limevamiwa na watoto wengi sana. Ujio wa bando za bei ya kawaida na tecno unatuletea watoto wamezaliwa 2004.
Kama humjui Juma Nature endelea kumpikia mumeo hapo nyumbani
Kwenye trend ndio wapi?Hayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
Show hazipo hivyoTuwe wakweli hivi Juma nature sasa hivi atangaze show kiingilio 2000 kwa kichwa wangapi humu wataenda?
Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa Juma Nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa.Legend kama yeye anapewaje laki tano, kweli dharau aisee.
Unahisi kwanini walimfikiria?Huenda akastahili zaidi ya hiyo, ila wasafi nao ni wafanyabiashara, hivi kweli watoe mamilioni kwa juma nature? Mtu wimbo wake wa mwisho hata hatujui ulitoka lini, kwanza kibiashara kabisa asingefikiriwa kabisa
Mimi siendiTuwe wakweli hivi Juma nature sasa hivi atangaze show kiingilio 2000 kwa kichwa wangapi humu wataenda?