Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

Ukweli ni kwamba binafsi hata nyandomo diamond, ali kibakuli, mjomba nchumali, sijui kina marioo wapige show bure hapo kibarazani kwangu siwezi kwenda.. kila mtu na akipendacho.

Hao wasafi kumfata nature kuna jambo wameliona na nature kakataa sababu anajua thamani yake.
Hao wasanii sijawahi kuwaelewa na siji kuwaelewa.

Mi sio mtu rahisi kuongopewa.

Nature ni valuable kwenye show asikuambie mtu.

Hawa wasanii wao wanaowaona wanaimba vizuri wengi hawajawahi kuwa na amsha kwenye show. Verse mbili tayari anakunyooshea mic umalizie.
 
Washamba wengi humu hawamjui Nature, wala sio utoto ni vile kipindi hicho wao walikua sigimbi wanalima magimbi,

Vyuo ndio vimewaleta wengi jijini, basi wanajikuuuuta na wao wamo, ndio utaona michango mingi ya walugaluga wanaona kiroboto anastahili hiyo laki 5.
Itakuwa we ni kiroboto
 
Hayuko kwenye trend.... anataka alipwe kama walioko kwenye trend?
Angeenda tu.
Ufahamu mdogo. Kuna trend & hadhi (ukubwa). Ukishakuwa msanii mkubwa tayari una fanbase yako, so hata show hufanyi hovyo hovyo, unakuwa selective kwa hadhi yako, knowing msanii mkubwa tayari ameshajijenga kimaisha. Ile show ya Honors ndio inawafaa kina nature.
 
Back
Top Bottom