Ana magoma ambayo yana vibe yani sio rahisi kwa mtu aliyezaliwa miaka ya 2000 kuweza kumuelewa.
Halafu wengi wanaompinga Nature kwa kigezo cha hana nyimbo mpya ambayo ipo kwenye rotation, wengi wanaonesha hata hawajawahi kuhudhuria kwenye show.
Itakuwa ndio type ya wale watu amabo kwenye show wanazoenda ni zile ambazo CCM kwenye kampeni zake ilikuwa inawabeba wasanii.
So baadhi ya watu wakaona yes this is perfect angle enjoy the show.
Nature kikawaida usimruhusu aanze kwenye show utafanya watu waanze kuwaona wasanii wanaofata wanafanya futuhi.
Nature muweke mwishoni ukimuanzisha utapata lawama kwa wasanii kwanini umwadhalilisha