Juma Nature asema yeye ndio mwenye ubavu wa kupambana na Diamond kwa sasa

lakin mkuu mbona washikilia sana tuzo za ktma VIP mbona huongelei afrima na afrimma ??
huyu jamaa anayejiita shabiki wa mziki mzuri hii ndo point yake kubwa sana ukimgusia suala la TUZO walizozichukua Mondi na Kiba...
yaani kwake yeye zile TUZO ni kigezo kikubwa cha kuwa Kiba ni zaid ya Mondi...
inashangazaaaaaaa..!!!
 
Kiba siyo saiz yenu pigeni keleleeee laleniii tukaneniiiii bt ukweli unasimama pale kwamba diamond ni msanii machachari wakati Ali kiba ni mwanamuziki mahiri.
 
sawa mkuu...
karibu WCB,team no stress..!
Nmemskia Raymond Mzee... Mond amefanya kitu kizur sana awanyanyue madogo then kaz aanze kupiga kwenye studio yake bt kwa jina lake lilivyokubwa nlipenda aanze kupiga live band atatisha sana mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…