George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
huyu jamaa anayejiita shabiki wa mziki mzuri hii ndo point yake kubwa sana ukimgusia suala la TUZO walizozichukua Mondi na Kiba...lakin mkuu mbona washikilia sana tuzo za ktma VIP mbona huongelei afrima na afrimma ??
yaani kwake yeye zile TUZO ni kigezo kikubwa cha kuwa Kiba ni zaid ya Mondi...
inashangazaaaaaaa..!!!