Juma Nature: Nyota kubwa inayoelekea kuzimika

Juma Nature: Nyota kubwa inayoelekea kuzimika

Unadhirisha ushamba wako kabisa kuna watu wanaishi maisha mazuri Mwananyamala kuliko O bay by the way mimi ni kaka yako mkubwa sana mwaka uliokua darasa la sita mimi ndio nilikua nimeshamaliza chuo na naishi kwangu nina mke na watoto ila ni mtoto wa mjini na sijakulia hizo sehemu ulizotaja na kutokana na u born town nina marafiki niliokua nao ambao nina fight waachane na uteja na siwezi kuwatenga au kukashifu.
Usipende kudharirisha wanawake wenzio kwa nini usiseme Baba yangu ndio amedandia treni?Ha ha ha eti hujui babangu alikua nani so wewe unajua wa kwangu?unadhani baba yako akiwa DC Tandahimba ndio inakuzuia kuwa mshamba?Hakuna anayekashifu watu waliozaliwa mikoani hata mimi nimezaliwa mkoani nimekulia Dar lakini issue ni kujifanya mnajua watu mjini tena watu wazima wakati mwaka 2001 ulikua darasa la sita Mtwara.Dont panic

Kumbe unakiri kuwa ulikuwa teja ok endelea kuwasaidia wenzio ili wabadilike kama wewe maana naona unakaribia upata wajukuu ila unavyoviwaza na kuandika hata mwanao anakushangaa..
Kumbe unajijua mlidandia treni mkaja mjini na kujifanya mnajua mji juliko wenyeji unajidhalilisha wewe mwenyewe..
Sina tym ya kubishana na watoto wenye akili kama zako wendo design ileile ya ule wimbo wa wateule "bado yukovilevile" hadi leo unawaza kuzamia meli ufike ulaya wenzako wanapaa pipa kisa uborn town wakuja hao wametoka kimaisha wewe nado uko vilevile eti mtoto wa mjini.

Mtoto wa mjini hata hela ya Topaz hadi leo unaomba kwa wazazi wako. Embu nipishe hapa kwanza jina lako lenyewe lime kaa Kimawiha na mlivyokuwa washamba sijui lini mtaendelea.
 
Kalieni majungu na masufuria necha anapiga show zake kama kawa na anatengeneza pesa yake inayompa mkate wake wakila siku.
 
Aah watuwengine wanawaza kwa kutumbia p....mbu zao sijui bila kujibu hoja hawaridhiki mpk wachokonoe wenzao. Yani jf ipite thread bila kugombana hawajisikii kabisa.

Jitahidi kuepuka malumbano, si vema kujibishana mitandaoni
 
Ndugu yangu shifta inaonekana unachuki binafsi na Nature au haujui muziki ilivyo. Nature ameimba nyimbo nyingi sana za kuiasa jamii mfano Nini chanzo?, Acha ubrother man, CCM na CUF, wazazi baba na mama nk. Muziki ni burudani zaidi hivyo sio sahihi kumdiss msanii kua hana mashairi ya maana ila jali mapokeo ya hadhira. Muziki unamsimu hata hivyo kubari jamaa wakati wake umepita na ni kweli muda wake alikua nyota hata 50cent wa leo si yule wa 90s ambaye mjanja yoyote ilikua lazma uwe na nyimbo zake.

Ongeza na mtoto idi.. achana na hao mabwege hawajui raha aliyokuwa anatupa necha. Halafu hawajui ni necha tu mwenye uwezo mkubwa wa ku rap,kupiga chorus na kuimba kwa mpigo.jay mwenyewe kila akikaribia kupotea lazima amwite necha kugonga kibwagizo rejea zali la mentali, ndiyo mzee nk
 
Last edited by a moderator:
Kumbe unakiri kuwa ulikuwa teja ok endelea kuwasaidia wenzio ili wabadilike kama wewe maana naona unakaribia upata wajukuu ila unavyoviwaza na kuandika hata mwanao anakushangaa..
Kumbe unajijua mlidandia treni mkaja mjini na kujifanya mnajua mji juliko wenyeji unajidhalilisha wewe mwenyewe..
Sina tym ya kubishana na watoto wenye akili kama zako wendo design ileile ya ule wimbo wa wateule "bado yukovilevile" hadi leo unawaza kuzamia meli ufike ulaya wenzako wanapaa pipa kisa uborn town wakuja hao wametoka kimaisha wewe nado uko vilevile eti mtoto wa mjini.

Mtoto wa mjini hata hela ya Topaz hadi leo unaomba kwa wazazi wako. Embu nipishe hapa kwanza jina lako lenyewe lime kaa Kimawiha na mlivyokuwa washamba sijui lini mtaendelea.

Ha ha ha hueleweki unaongea nini!!Ungekua unanifahamu ungemeza maneno yako,sijawahi kutumia kilevi chochote na haiwezi kunifanya niwatenge wanaotumia utakua ni unafiki badala yake ninawaambia madhara yake,hiyo inaitwa Hit where it hurts naona povu linakutoka usije ukaingia mwezini bure tupotezeane,mimi ninawalisha kula kulala kama wewe waliomaliza chuo hawana ajira wanaokesha Blogs, FB na IG wa5 for your info
 
nyie acheni ku diss wenzenu. ...kwanza lazima uelewe binadama hawezi kutamba milele mfano katika muziki ni kama mchezo wa mbio za vijiti tu..mnapokezana.walitamba wakina wacko jackoa bana, wu tang, sahv anatamba diamond lakini hatotamba milelw katika sana yake...kikubwa ni msanii anangalia yeye amepata nn au kufaidika vp. so ww uliye anzisha mada hiyo hujui nature ana mafanikio gani so mwache tu aishi kivyake
 
Kwa wakongwe,tunaoufahamu vizuri huu mziki wa Bongo Juma Nature bado tunampa respect..Manguli wengi wa enzi wameimba nyimbo zenye ujumbe na zinazodumu,hawa wapya kwenye fani wanajitahidi pia,teknolojia ikiwabeba zaidi. Kiujumla muziki ni sanaa,jamaa ni msanii na ana kipaji,sikiliza flow na vionjo..ni ngumu sana kwa wadau wengine mlio humu,hasa nyie mliokua shule za msingi na sekondari kwa wakati huo kuweza kutoa maoni sawia kwa hawa manguli wa mziki Bongo,mfanye utafiti zaidi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unasema? Hana kipaji? Enzi hizo hakukuwa na vipaji? Mzima kweli wewe?...nature alitamba kipindi cha kina jay,sugu,lady jaydee, mr paul,ay, solo, afande nk!ina maana hao jamaa hawana vipaji?..na hata hao unaowaona wana vipaji sasa walianza kuimba kwa style ya juma nature.nakuhakikishia nature akipanda jukwaani na hao watoto wenzio lazima awafunike. Wao wapige albam nzima kisha nature apige moja tu.. hili game.. halafu utazame jukwaa

Juma ana albamu nyie zaid ya moja
 
Ha ha ha hueleweki unaongea nini!!Ungekua unanifahamu ungemeza maneno yako,sijawahi kutumia kilevi chochote na haiwezi kunifanya niwatenge wanaotumia utakua ni unafiki badala yake ninawaambia madhara yake,hiyo inaitwa Hit where it hurts naona povu linakutoka usije ukaingia mwezini bure tupotezeane,mimi ninawalisha kula kulala kama wewe waliomaliza chuo hawana ajira wanaokesha Blogs, FB na IG wa5 for your info

Potezea mkuu@naumbu
 
Umeandika kama kunakitu umetoka kufanya ambacho mzazi wako alikwisha kukataza achana mawazo hayo au kitufe kinawasha mziki huujui sasa nakupa kazi nenda kafanye utafiti ndio urudi hapa jukwaani mambo ya NATURE we huyajui ila kunamtu kakusimulia na amekudanganya

mtu kama wewe ndio unabebeshwa mimba kisha humjui baba wa mtoto ni yupi...
Mimi naufuatilia vizuri huo mziki tangu Nature anatolewa na Mabaga kwenye mtulize.
Nachokueleza unatakiwa ukisikilize na kukifanyia kazi...then kama unaona mimi niko wrong nimekwambia nenda kamlipie pesa ya studio kisha atoe wimbo uone kama utabamba.
Nature aliwakamata mazezeta kama wewe na ndio maana akawa anawaimbia pasipo mtiririko na nyie mkawa mnashangilia tu...
Kama huna hoja nenda kachambe...sio wanakuzibua tu kisha unainuka na kusepa
 
Ongeza na mtoto idi.. achana na hao mabwege hawajui raha aliyokuwa anatupa necha. Halafu hawajui ni necha tu mwenye uwezo mkubwa wa ku rap,kupiga chorus na kuimba kwa mpigo.jay mwenyewe kila akikaribia kupotea lazima amwite necha kugonga kibwagizo rejea zali la mentali, ndiyo mzee nk

wimbo unaombeba kwenye show ni hili game.
Tafuta acapella ya hili game kisha isikilize na utaungana na yule mtangazaji aliewahi kumwambia huo wimbo wa hili game ni beat ndio inaubeba.

Wimbo wake wa mwisho kuutoa ndio umegongelea msumali wa nwisho katika jeneza lake.

Dawa chungu ndio inayoponya...jamaa hajui
 
shifta inaonekana huu muziki umeanza kuufuatilia baada ya akina dogo janja kuanza kuimba,kaa umu:-
Nini chanzo
Wimbi la njaa
Biashara ya utumwa
Tumepigika
Mtoto Idd
Jinsi kijana
Muafaka(CCM na CUF)
Albino
Brother men
Kukaa nyumbani
Wazazi
Msafiri kafiri
Buriani

Hizi ni chache kati ya nyimbo nyingi za Nature ambazo zinaelimisha jamii unavosema hana nyimbo zenye maudhui chanya na jamii inaonyesha haumjui kabisa Kibra na waulize wanaofuatilia hii music industry nani mkongwe ambae hajawai kufanya collabo na Nature usitake kujua wangapi wametoka kupitia kipaji cha huyu kiumbe kama vipi ongopeni kuhusu hawa wanaovaa suruali za dada zao ndio sina profile zao ila wale wenye muziki wao kitambo utavaba.
 
hayo ni majina ya nyimbo...
Twende kwenye kilichomo ndani ya hizo nyimbo sasa...
 
Last edited by a moderator:
mtu kama wewe ndio unabebeshwa mimba kisha humjui baba wa mtoto ni yupi...
Mimi naufuatilia vizuri huo mziki tangu Nature anatolewa na Mabaga kwenye mtulize.
Nachokueleza unatakiwa ukisikilize na kukifanyia kazi...then kama unaona mimi niko wrong nimekwambia nenda kamlipie pesa ya studio kisha atoe wimbo uone kama utabamba.
Nature aliwakamata mazezeta kama wewe na ndio maana akawa anawaimbia pasipo mtiririko na nyie mkawa mnashangilia tu...
Kama huna hoja nenda kachambe...sio wanakuzibua tu kisha unainuka na kusepa

Dada huku hapakufai hii sio taarabu kama kuna wanaokufurahisha au wanaokukunaga Nature sio sample yako na utazidi kumchukia kwa wivu usio na maana achana nae kwani lazima usikilize nyimbo zake tuachie sisi tunaojua thamani ya kazi zake na heshima anayostahili
 
Back
Top Bottom