Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nature hana kipaji Wala sio msanii wa kiwango...alitamba kwa sababu kulikuwa hakuna vipaji vikubwa those days
hata angekuwa nazo 50...kwa kuwa hajui ndio maana hata hizo santuri hazijamsaidia kumkwamua kimaisha...
Anayesema Nature hajui, hajui muziki.Msikilize nature kwenye ngoma inayoitwa "jinsi tulivyo" aliyoshirikishwa na Manyema Family ujue habari yake.
Au wengine mmejua muziki juzi?
Nenda kamuanikie
Ha ha ha hueleweki unaongea nini!!Ungekua unanifahamu ungemeza maneno yako,sijawahi kutumia kilevi chochote na haiwezi kunifanya niwatenge wanaotumia utakua ni unafiki badala yake ninawaambia madhara yake,hiyo inaitwa Hit where it hurts naona povu linakutoka usije ukaingia mwezini bure tupotezeane,mimi ninawalisha kula kulala kama wewe waliomaliza chuo hawana ajira wanaokesha Blogs, FB na IG wa5 for your info
Kalieni majungu na masufuria necha anapiga show zake kama kawa na anatengeneza pesa yake inayompa mkate wake wakila siku.
Dada huku hapakufai hii sio taarabu kama kuna wanaokufurahisha au wanaokukunaga Nature sio sample yako na utazidi kumchukia kwa wivu usio na maana achana nae kwani lazima usikilize nyimbo zake tuachie sisi tunaojua thamani ya kazi zake na heshima anayostahili
Sinta mbona siku hizi huigizi tena kaole?
we kipapa kweli...unasema mzk haujamsaidi nature kimaisha?? nature ndio msanii wa kwanza Tanzania kumiliki Benz from kutembea kwa miguu tmk to mwenge ,,amejenga nyumba kitambo na anaishi kwake kwa huu huu muziki,,ana miradi yake mingi tu kwa huu huu muziki,,,anapiga show mpaka kesho kwa huo muziki wake unaouponda.....muulize Lil Kim anaheshimu kipaji cha nature kwa kilichotokea leaders alipofutiwa aibu.
ukiona mtu anajibu hoja kwa matusi basi ujue yai limeshuka sasa anataka kubaishiwa tu abebe mimba.
Na Mvua hizi lazima ukajiuze barabarani...mie hunipati ng'o.
The law of nature- hkn pa kwenda baada kufikia the peak, lzm ushuke! Yuko wp Ja rule? wapi Ashanti? Lil kim? R.kelly? Snoop wa leo sio yule wa MURDER WAS THE CASE! Hata BIG na 2PAC wangekuwa hi wasingeweza kujaza tena kumbi zao km Madison square
utajibu nini hapo na umejikuta hujui chochote kuhusu huu muziki??...lazima utafute sabb ya kukimbia.....kaa karibu na baba zako tukufundishe muziki,,ili siku nyingine usitoe boko km hapo mwanzo.[/QUOTE)
achaneni nae si unamuona mtu mwenyewe akili kisoda kwa majibu yake abayotoa...
utajibu nini hapo na umejikuta hujui chochote kuhusu huu muziki??...lazima utafute sabb ya kukimbia.....kaa karibu na baba zako tukufundishe muziki,,ili siku nyingine usitoe boko km hapo mwanzo.
utajibu nini hapo na umejikuta hujui chochote kuhusu huu muziki??...lazima utafute sabb ya kukimbia.....kaa karibu na baba zako tukufundishe muziki,,ili siku nyingine usitoe boko km hapo mwanzo.[/QUOTE)
achaneni nae si unamuona mtu mwenyewe akili kisoda kwa majibu yake abayotoa...
unakupwita eeh?
Endelea ntakukuna tu.
Hoja ni kuwa Nature kaisha...
Na hata alivyotamba awali aliwaokota washabiki maandazi ...
Leo hii watu wamejanjaluka na hawaburuzwi na mashairi mepesi kama kijasho kitakushuka teremka chemka au sijui ni muhtahasali wa habari shetani au mafuvu gwala mfano wa tofali...
Njoeni na hoja na sio vioja.
Mimi nimesema wazi bila woga kuwa jamaa hakuwa na vina wala mizani.
Sasa ni jukumu lenu kuja kuthibitisha kuwa jamaa alikuwa navyo vitu hivyo.
------- nyie mnakuja hapa na ujanja ujanja ooh jamaa alikuwa anajuwa, ooh jamaa kaimba na Profesa, ooh jamaa ana albam yake inaitwa ugali, ooh jamaa ni mkongwe...----off