shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Nature hana kipaji Wala sio msanii wa kiwango...alitamba kwa sababu kulikuwa hakuna vipaji vikubwa those days
truthhurt...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nature hana kipaji Wala sio msanii wa kiwango...alitamba kwa sababu kulikuwa hakuna vipaji vikubwa those days
Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo Juma Nature, mikoani ndio usiseme. Aliwahi kuonekana mkoani Kigoma yani wafanya biashara waliacha maduka kwenda kuangalia gari la matangazo alilokuwa amepanda Juma Nature.
Nakumbuka interviews alizokuwa akifanya Star TV, EATV na kwingineko, viewerz walikuwa wengi wakickia kipindi flani atakuwepo Juma Nature. Nakumbuka mkutano wa CCM Dodoma, watu waliacha kupanga foleni kumpungia mkono Kikwete na badala yake mamia kwa mamia walienda kusukuma gari alilokuwemo Juma Nature.
Jamaa now imebak historia.
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho...
Nakumbuka enzi hizo niko darasa la sita Kayumba alikuja Mkoani na Swebe wakawa wameamua kushuka kwenye gari na kutembea kwamiguu kuelekea hotelini iliyokuwa jirani na shule yetu wanafunzi wote shule nzima tulitoka nje kuwashangaa na kuwaacha walimu wakiduwaa tu na chaki zao. Baada ya hapo tuliambulia stiki na adhabu kisa Juma Nature na Swebe ambao leo hii hata akinipitia pembeni sigeuki kumshangaa lol!
Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo Juma Nature, mikoani ndio usiseme. Aliwahi kuonekana mkoani Kigoma yani wafanya biashara waliacha maduka kwenda kuangalia gari la matangazo alilokuwa amepanda Juma Nature.
Nakumbuka interviews alizokuwa akifanya Star TV, EATV na kwingineko, viewerz walikuwa wengi wakickia kipindi flani atakuwepo Juma Nature. Nakumbuka mkutano wa CCM Dodoma, watu waliacha kupanga foleni kumpungia mkono Kikwete na badala yake mamia kwa mamia walienda kusukuma gari alilokuwemo Juma Nature.
Jamaa now imebak historia.
Ndio maana!bado wale wenzio ku confess sasa mnatoa wapi guts za kujifanya mnajua watu mjini?si muulize tu kuliko kuja na uzushi humu na mkiambiwa mnaanza kuitana team mini sijui kumbe mjini mna Km chacheHakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho...
Nakumbuka enzi hizoF niko darasa la sita Kayumba alikuja Mkoani na Swebe wakawa wameamua kushuka kwenye gari na kutembea kwamiguu kuelekea hotelini iliyokuwa jirani na shule yetu wanafunzi wote shule nzima tulitoka nje kuwashangaa na kuwaacha walimu wakiduwaa tu na chaki zao. Baada ya hapo tuliambulia stiki na adhabu kisa Juma Nature na Swebe ambao leo hii hata akinipitia pembeni sigeuki kumshangaa lol!
una christmas ngapi mjini?
Ndio maana!bado wale wenzio ku confess sasa mnatoa wapi guts za kujifanya mnajua watu mjini?si muulize tu kuliko kuja na uzushi humu na mkiambiwa mnaanza kuitana team mini sijui kumbe mjini mna Km chache
Unasema? Hana kipaji? Enzi hizo hakukuwa na vipaji? Mzima kweli wewe?...nature alitamba kipindi cha kina jay,sugu,lady jaydee, mr paul,ay, solo, afande nk!ina maana hao jamaa hawana vipaji?..na hata hao unaowaona wana vipaji sasa walianza kuimba kwa style ya juma nature.nakuhakikishia nature akipanda jukwaani na hao watoto wenzio lazima awafunike. Wao wapige albam nzima kisha nature apige moja tu.. hili game.. halafu utazame jukwaa
Ila wenye vipaji bado wana survive na mziki wao bado unapendwa kama Prof J, Jide, AY, FA n.k
nakumbuka jamaa hakuwahi kutoa wimbo wowote wenye kuiasa jamii.
Nakumbuka jamaa hakuwahi kuwa na vina wala mizani katika nyimbo zake.
Nakumbuka jamaa alipoanza kujitambua kuwa si lolote akaamua kuanza kuimba upuuzi ili afanikiwe kuwa na backup ya wapuuzi na mazezeta...mfano kuna wimbo aliimba mara akaropoka "kanya kayajaza"...
Nakumbuka pia jamaa alitaka kuleta style ya kurap kama wana malenga lakini ikadunda.
Nakumbuka pia jamaa alimkuta upepo mwenzie Inspector Haroun kwenye game kisha akaiba style ya mwenzie na kutaka kuwaaminisha mazezeta kuwa yeye ndie muasisi wa style hio.
Lana likawakuta now woote kwishney.
Nakumbuka jamaa aliwahi kuulizwa maana haswa ya wimbo wake "hili hame" na maudhui yaliyomo ndani yake...but akashindwa kutoa jawabu badala yake akaleta ukatuni lakini mtangazaji akaja kumshushua kwa kumwambia ukweli kuwa ule wimbo umebebwa na Beat...huu ni ukweli usiopingika.
Nakumbuka pia jamaa alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kundi la TMK linakufa.
Lakini hilo kundi walilokimbilia kulianzisha nalo ni ushuzi mtupu afadhali ya wenzie waliobaki na TMK still mpaka leo kwenye game wanasikika.
Nakumbuka pia alitumia mwanya wa kukataliwa na Sinta kuwa ndio chance ya kuwakamata mazezeta wanaokurupuka tu bila kujuwa maana halisi ya muziki.
Nakumbuka pia aliwahi kushutumiwa kuwa anasongesha game lake la muziki kwa kutumia mahakama huru yaani ushirikina.
Hajui na hakuwahi kujuwa na ndo maana colabo za wanamuziki wa africa ya mashariki zilimpiga chenga.
Pia hata wasanii wa hapahapa waliotoa wimbo makini hawakudiriki kumshirikisha.
Mbaya zaidi game limepindua na asilimia kuubwa ya wale oya oya aliowahi kuwashika, kwa sasa wame change.
Kama kuna atakaekuwa na kibri cha kubishana na hayo nilioandika basi amlipie jamaa pesa ya Studio kisha agonge ngoma muone kama itapenya kwenye ushindani katika game lililopo sasa.
We uliyezaliwa mjini na bado unaishi tandale uzuri tena kwa wazazi wako na mm niliyekuja na tunaishi mbezi beach nani ana hasara.. Hivi tu bado unaakili za kitoto tu hivi bado sikuiz mnamambo ya uborn town huku mkiishi kwa wazazi wenu Mwananyamala kwa Alimaua wenzio wakuja wameendelea we bado tu eti born town born town unashinda vijiweni tu na mateja wenzio.. If yu know nothing juc keep quiet sina muda wa kubishana na mateja after all hunijui na sikujui na hujui babaangu alikuwa nan serikalini hali iliyomfanya asiishi mkoa mmoja kwa zaidi ya miaka mi5. Kuna waliozaliwa mjini na kukulia mikoani na kuna waliozaliwa mkoa na kukuilia mjini we kama mamaako alidandia treni na kuja mjini sio kila aliyeishi town ni mjanja kwanza sina tym ya kubishana na mateja humu.
Ay na FA ni makinda linapokuja suala la Juma Nature wkt Ay anatoka kupitia bonus track ya Biashara ya Utumwa ambayo alishirikishwa na Nature tayari albamu ya Nini chanzo iko sokoni kitambo sana,Jide na Prof uko sawa kabisa wanaendelea kukaa juu nadhani nidhamu na mfumo wao wa maisha unawabeba huyu Nature ujamaa unamponza.
Hahahahaaa....naona mnaringishiana maisha mnayoishi, naumbu na qn of sheba