Juma Nature: Nyota kubwa inayoelekea kuzimika

Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo Juma Nature, mikoani ndio usiseme. Aliwahi kuonekana mkoani Kigoma yani wafanya biashara waliacha maduka kwenda kuangalia gari la matangazo alilokuwa amepanda Juma Nature.

Nakumbuka interviews alizokuwa akifanya Star TV, EATV na kwingineko, viewerz walikuwa wengi wakickia kipindi flani atakuwepo Juma Nature. Nakumbuka mkutano wa CCM Dodoma, watu waliacha kupanga foleni kumpungia mkono Kikwete na badala yake mamia kwa mamia walienda kusukuma gari alilokuwemo Juma Nature.

Jamaa now imebak historia.

nakumbuka jamaa hakuwahi kutoa wimbo wowote wenye kuiasa jamii.

Nakumbuka jamaa hakuwahi kuwa na vina wala mizani katika nyimbo zake.

Nakumbuka jamaa alipoanza kujitambua kuwa si lolote akaamua kuanza kuimba upuuzi ili afanikiwe kuwa na backup ya wapuuzi na mazezeta...mfano kuna wimbo aliimba mara akaropoka "kanya kayajaza"...

Nakumbuka pia jamaa alitaka kuleta style ya kurap kama wana malenga lakini ikadunda.

Nakumbuka pia jamaa alimkuta upepo mwenzie Inspector Haroun kwenye game kisha akaiba style ya mwenzie na kutaka kuwaaminisha mazezeta kuwa yeye ndie muasisi wa style hio.
Lana likawakuta now woote kwishney.

Nakumbuka jamaa aliwahi kuulizwa maana haswa ya wimbo wake "hili hame" na maudhui yaliyomo ndani yake...but akashindwa kutoa jawabu badala yake akaleta ukatuni lakini mtangazaji akaja kumshushua kwa kumwambia ukweli kuwa ule wimbo umebebwa na Beat...huu ni ukweli usiopingika.

Nakumbuka pia jamaa alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kundi la TMK linakufa.
Lakini hilo kundi walilokimbilia kulianzisha nalo ni ushuzi mtupu afadhali ya wenzie waliobaki na TMK still mpaka leo kwenye game wanasikika.

Nakumbuka pia alitumia mwanya wa kukataliwa na Sinta kuwa ndio chance ya kuwakamata mazezeta wanaokurupuka tu bila kujuwa maana halisi ya muziki.

Nakumbuka pia aliwahi kushutumiwa kuwa anasongesha game lake la muziki kwa kutumia mahakama huru yaani ushirikina.

Hajui na hakuwahi kujuwa na ndo maana colabo za wanamuziki wa africa ya mashariki zilimpiga chenga.
Pia hata wasanii wa hapahapa waliotoa wimbo makini hawakudiriki kumshirikisha.

Mbaya zaidi game limepindua na asilimia kuubwa ya wale oya oya aliowahi kuwashika, kwa sasa wame change.

Kama kuna atakaekuwa na kibri cha kubishana na hayo nilioandika basi amlipie jamaa pesa ya Studio kisha agonge ngoma muone kama itapenya kwenye ushindani katika game lililopo sasa.
 
Kushiriki ktk siasa ndio chanzo.wanasiasa wanapendelea kusafiria nyota ya mtu apendwae
 
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho...

Nakumbuka enzi hizo niko darasa la sita Kayumba alikuja Mkoani na Swebe wakawa wameamua kushuka kwenye gari na kutembea kwamiguu kuelekea hotelini iliyokuwa jirani na shule yetu wanafunzi wote shule nzima tulitoka nje kuwashangaa na kuwaacha walimu wakiduwaa tu na chaki zao. Baada ya hapo tuliambulia stiki na adhabu kisa Juma Nature na Swebe ambao leo hii hata akinipitia pembeni sigeuki kumshangaa lol!

una christmas ngapi mjini?
 
Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo Juma Nature, mikoani ndio usiseme. Aliwahi kuonekana mkoani Kigoma yani wafanya biashara waliacha maduka kwenda kuangalia gari la matangazo alilokuwa amepanda Juma Nature.

Nakumbuka interviews alizokuwa akifanya Star TV, EATV na kwingineko, viewerz walikuwa wengi wakickia kipindi flani atakuwepo Juma Nature. Nakumbuka mkutano wa CCM Dodoma, watu waliacha kupanga foleni kumpungia mkono Kikwete na badala yake mamia kwa mamia walienda kusukuma gari alilokuwemo Juma Nature.

Jamaa now imebak historia.

Huwezi kua mkali milele itafika muda inabidi ukubali wako wapi wakina mc hammer,crisscross salt n pepa.whn ur time is up huwezi kubishana na ukweli
 
Kwi kwi kwi 😀 daah!! shifta ngoja nifanye utafiti kwa sasa sina jibu...
 
Last edited by a moderator:
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho...

Nakumbuka enzi hizoF niko darasa la sita Kayumba alikuja Mkoani na Swebe wakawa wameamua kushuka kwenye gari na kutembea kwamiguu kuelekea hotelini iliyokuwa jirani na shule yetu wanafunzi wote shule nzima tulitoka nje kuwashangaa na kuwaacha walimu wakiduwaa tu na chaki zao. Baada ya hapo tuliambulia stiki na adhabu kisa Juma Nature na Swebe ambao leo hii hata akinipitia pembeni sigeuki kumshangaa lol!
Ndio maana!bado wale wenzio ku confess sasa mnatoa wapi guts za kujifanya mnajua watu mjini?si muulize tu kuliko kuja na uzushi humu na mkiambiwa mnaanza kuitana team mini sijui kumbe mjini mna Km chache
 
We uliyezaliwa mjini na bado unaishi tandale uzuri tena kwa wazazi wako na mm niliyekuja na tunaishi mbezi beach nani ana hasara.. Hivi tu bado unaakili za kitoto tu hivi bado sikuiz mnamambo ya uborn town huku mkiishi kwa wazazi wenu Mwananyamala kwa Alimaua wenzio wakuja wameendelea we bado tu eti born town born town unashinda vijiweni tu na mateja wenzio.. If yu know nothing juc keep quiet sina muda wa kubishana na mateja after all hunijui na sikujui na hujui babaangu alikuwa nan serikalini hali iliyomfanya asiishi mkoa mmoja kwa zaidi ya miaka mi5. Kuna waliozaliwa mjini na kukulia mikoani na kuna waliozaliwa mkoa na kukuilia mjini we kama mamaako alidandia treni na kuja mjini sio kila aliyeishi town ni mjanja kwanza sina tym ya kubishana na mateja humu.
 
Unasema? Hana kipaji? Enzi hizo hakukuwa na vipaji? Mzima kweli wewe?...nature alitamba kipindi cha kina jay,sugu,lady jaydee, mr paul,ay, solo, afande nk!ina maana hao jamaa hawana vipaji?..na hata hao unaowaona wana vipaji sasa walianza kuimba kwa style ya juma nature.nakuhakikishia nature akipanda jukwaani na hao watoto wenzio lazima awafunike. Wao wapige albam nzima kisha nature apige moja tu.. hili game.. halafu utazame jukwaa

Ila wenye vipaji bado wana survive na mziki wao bado unapendwa kama Prof J, Jide, AY, FA n.k
 
Ndugu yangu shifta inaonekana unachuki binafsi na Nature au haujui muziki ilivyo. Nature ameimba nyimbo nyingi sana za kuiasa jamii mfano Nini chanzo?, Acha ubrother man, CCM na CUF, wazazi baba na mama nk. Muziki ni burudani zaidi hivyo sio sahihi kumdiss msanii kua hana mashairi ya maana ila jali mapokeo ya hadhira. Muziki unamsimu hata hivyo kubari jamaa wakati wake umepita na ni kweli muda wake alikua nyota hata 50cent wa leo si yule wa 90s ambaye mjanja yoyote ilikua lazma uwe na nyimbo zake.
 
Last edited by a moderator:
Tusiwe watu wa kudiss tu ila tuwakumbuke watu ambao waliufanya Muziki wetu uendelee. Kuna jamaa alikua anaitwa Saleh Jabri, huyu jamaa alikua hana ujumbe ila ndiye star wa mwanzo kabisa ktk bongo fleva, pia kuna wengi mfano GWM, DIPLOMAT, KWANZA UNIT, SOGGY DOGY, SUGU, IMAM ABAS, DUDU BAYA, HARD BLUSTERS nk, ambao walitamba kipindi hicho, lakini sasa hivi sidhani kama wanamvuto tena ila bado huwezi kuwaita wapenzi wao walikua wajinga kwa kuwakubari wakati huo sembuse Nature anayepiga show hadi sasa?
 
Nature alipoacha style yake ya kuchana na kubadilika ndipo alipoanza kupotea, halikadhalika marehemu Albert Mangwear (R.I.P). Msikilize Nature wa enzi za kigetogeto na wa sasa, halafu msikilize Ngwear wa Ghetto langu na wa no beef halafu utanielewa ninachomaanisha. ( sijatumia jina la Ngwear kwa nia mbaya)....ninachotaka kusema hapa ni kwamba si kila msanii anapaswa kubadilika, wengine wanatakiwa wabaki kwenye uhalisia wao. Bainafsi sikuona sababu ya Nature kuacha style yake ya zamani na kuimba anavyoimba sasa. Havutii tena, nyimbo zake za zamani ndio zinapendwa na sio za sasa.
 
Ila wenye vipaji bado wana survive na mziki wao bado unapendwa kama Prof J, Jide, AY, FA n.k

Ay na FA ni makinda linapokuja suala la Juma Nature wkt Ay anatoka kupitia bonus track ya Biashara ya Utumwa ambayo alishirikishwa na Nature tayari albamu ya Nini chanzo iko sokoni kitambo sana,Jide na Prof uko sawa kabisa wanaendelea kukaa juu nadhani nidhamu na mfumo wao wa maisha unawabeba huyu Nature ujamaa unamponza.
 
nakumbuka jamaa hakuwahi kutoa wimbo wowote wenye kuiasa jamii.

Nakumbuka jamaa hakuwahi kuwa na vina wala mizani katika nyimbo zake.

Nakumbuka jamaa alipoanza kujitambua kuwa si lolote akaamua kuanza kuimba upuuzi ili afanikiwe kuwa na backup ya wapuuzi na mazezeta...mfano kuna wimbo aliimba mara akaropoka "kanya kayajaza"...

Nakumbuka pia jamaa alitaka kuleta style ya kurap kama wana malenga lakini ikadunda.

Nakumbuka pia jamaa alimkuta upepo mwenzie Inspector Haroun kwenye game kisha akaiba style ya mwenzie na kutaka kuwaaminisha mazezeta kuwa yeye ndie muasisi wa style hio.
Lana likawakuta now woote kwishney.

Nakumbuka jamaa aliwahi kuulizwa maana haswa ya wimbo wake "hili hame" na maudhui yaliyomo ndani yake...but akashindwa kutoa jawabu badala yake akaleta ukatuni lakini mtangazaji akaja kumshushua kwa kumwambia ukweli kuwa ule wimbo umebebwa na Beat...huu ni ukweli usiopingika.

Nakumbuka pia jamaa alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kundi la TMK linakufa.
Lakini hilo kundi walilokimbilia kulianzisha nalo ni ushuzi mtupu afadhali ya wenzie waliobaki na TMK still mpaka leo kwenye game wanasikika.

Nakumbuka pia alitumia mwanya wa kukataliwa na Sinta kuwa ndio chance ya kuwakamata mazezeta wanaokurupuka tu bila kujuwa maana halisi ya muziki.

Nakumbuka pia aliwahi kushutumiwa kuwa anasongesha game lake la muziki kwa kutumia mahakama huru yaani ushirikina.

Hajui na hakuwahi kujuwa na ndo maana colabo za wanamuziki wa africa ya mashariki zilimpiga chenga.
Pia hata wasanii wa hapahapa waliotoa wimbo makini hawakudiriki kumshirikisha.

Mbaya zaidi game limepindua na asilimia kuubwa ya wale oya oya aliowahi kuwashika, kwa sasa wame change.

Kama kuna atakaekuwa na kibri cha kubishana na hayo nilioandika basi amlipie jamaa pesa ya Studio kisha agonge ngoma muone kama itapenya kwenye ushindani katika game lililopo sasa.

Umeandika kama kunakitu umetoka kufanya ambacho mzazi wako alikwisha kukataza achana mawazo hayo au kitufe kinawasha mziki huujui sasa nakupa kazi nenda kafanye utafiti ndio urudi hapa jukwaani mambo ya NATURE we huyajui ila kunamtu kakusimulia na amekudanganya
 
We uliyezaliwa mjini na bado unaishi tandale uzuri tena kwa wazazi wako na mm niliyekuja na tunaishi mbezi beach nani ana hasara.. Hivi tu bado unaakili za kitoto tu hivi bado sikuiz mnamambo ya uborn town huku mkiishi kwa wazazi wenu Mwananyamala kwa Alimaua wenzio wakuja wameendelea we bado tu eti born town born town unashinda vijiweni tu na mateja wenzio.. If yu know nothing juc keep quiet sina muda wa kubishana na mateja after all hunijui na sikujui na hujui babaangu alikuwa nan serikalini hali iliyomfanya asiishi mkoa mmoja kwa zaidi ya miaka mi5. Kuna waliozaliwa mjini na kukulia mikoani na kuna waliozaliwa mkoa na kukuilia mjini we kama mamaako alidandia treni na kuja mjini sio kila aliyeishi town ni mjanja kwanza sina tym ya kubishana na mateja humu.

Unadhirisha ushamba wako kabisa kuna watu wanaishi maisha mazuri Mwananyamala kuliko O bay by the way mimi ni kaka yako mkubwa sana mwaka uliokua darasa la sita mimi ndio nilikua nimeshamaliza chuo na naishi kwangu nina mke na watoto ila ni mtoto wa mjini na sijakulia hizo sehemu ulizotaja na kutokana na u born town nina marafiki niliokua nao ambao nina fight waachane na uteja na siwezi kuwatenga au kukashifu.
Usipende kudharirisha wanawake wenzio kwa nini usiseme Baba yangu ndio amedandia treni?Ha ha ha eti hujui babangu alikua nani so wewe unajua wa kwangu?unadhani baba yako akiwa DC Tandahimba ndio inakuzuia kuwa mshamba?Hakuna anayekashifu watu waliozaliwa mikoani hata mimi nimezaliwa mkoani nimekulia Dar lakini issue ni kujifanya mnajua watu mjini tena watu wazima wakati mwaka 2001 ulikua darasa la sita Mtwara.Dont panic
 
Kwa hiyo siku hizi wanamuona kama wanafanya nae biasharaa, vipi mr.nice,sasa hiv ni domo only
 
Ay na FA ni makinda linapokuja suala la Juma Nature wkt Ay anatoka kupitia bonus track ya Biashara ya Utumwa ambayo alishirikishwa na Nature tayari albamu ya Nini chanzo iko sokoni kitambo sana,Jide na Prof uko sawa kabisa wanaendelea kukaa juu nadhani nidhamu na mfumo wao wa maisha unawabeba huyu Nature ujamaa unamponza.

Na Uswahili pia nao unamponza sana clouds wamejitahd kumbeba tena kwenye promo na fiesta ila ndo hivyo ganda la mua lililoisha utamu wake.
 
Hahahahaaa....naona mnaringishiana maisha mnayoishi, naumbu na qn of sheba

Aah watuwengine wanawaza kwa kutumbia p....mbu zao sijui bila kujibu hoja hawaridhiki mpk wachokonoe wenzao. Yani jf ipite thread bila kugombana hawajisikii kabisa.
 
Back
Top Bottom