wasukuma new model sisi!!.. sisi hatuangalii rangi ni chura na kifua!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasukuma na vyeusi wapi na wapi
wasukuma new model sisi!!.. sisi hatuangalii rangi ni chura na kifua!.
Hujanyimwa kifua kitasaidia tu!.Mbona chura sina mm
Hujanyimwa kifua kitasaidia tu!.
Weka picha mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kifua changu sina manyonyo makubwa mie
Land Cruiser Gx nazipenda sana hizi gariMwaka 2001 huo nikiwa naishi kibondo,kuna siku nikatumwa kwenda kasulu kutoa photocopy na kuprint document za ofisini.nilikuwa toyota landcruza GX za UN kama mnakumbuka kipindi hicho kulikuwa bado na wakimbizi kwenye makambi kama nyarugusu.
Asubuhi mapema nikaondoka nikiwa na jamaa mwingine.
Kufika kasulu nikanunua na mananasi ya kutosha waliopo kipande hio watajua.mwidiweee salam niliipata sana wakati narudi.
Kufika njiani nikamkuta jamaa flani huwa namuona sana pale mjini kibondo akiwa peke yake porini!nikasimama ili nimpe lift akagoma.
Anyway mi nakachapa mwendo barabara ilikuwa rafu rodi lakini kwa GX nilitembea hadi spidi 140.
Kufika kibondo namkuta jamaa kafika kitambo anakunywa kahawa anacheza draft.sikuamini ilibidi nimtafute anieleze alifikaje kabla ya gari na hakukuwa na gari lilinipita njia??!!mambo aliyoniambia hadi siyaamini
Weka picha mkuu
Kiuno kisicho na manyama ndio taste yangu!.. Utafurahi bebwa bebwa!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kifua changu sina manyonyo makubwa mie
mi kazi yangu kutoa ushahidi niliouona kikweli bwana likud yuko sahihi kuwa hakuna mwenye uwezo ule tena na hilo nimesikia kwa nduguze wenyewe narudia niliishi kigoma 2 years ,ila wajukuu zake pia waganga ila tukirank top 20 ya waganga noma kigoma hao wajukuu hamna kitu hii aliniambia rafiki yangu marehemu kassim said tajiri wa mabot miaka hiyo so msimfate yoyote inbox hata mm mtaliwa sanaAcha ujinga..huwezi muibia MTU kwa staili hiyo..Jf is the Home Of the GT..
Nimeleta Uzi watu wasome wajifunze wewe unakuja kutangaza biashara za makanjanja wenzako..Aisee acha ujinga wewe jamaa
Once again Juma Njemba is dead na.mrithi wake alikufa pia ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiuno kisicho na manyama ndio taste yangu!.. Utafurahi bebwa bebwa!..
anachekaa na kama una china eyes!..zitaongeza tu hasara!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naskia sekandi boni wake ni mshanaWatoto wake hawakurithi mikoba?
Huyo huyo,na hapo unaambiwa mshana alikuwa hafuatilii masomo vizuri ya Juma njembaKhan huyu kaka Mshana Jr ?