Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Wacha perepete umepoteza kuaminiwa kwa huu uongo wako

Unataka kujihami kwa kuita watu matepeli ona aibu basi

Aliyetapeliwa nani ktk waliochangia

Tumekwambia ukitaka historia ya kweli kuhusu Juma Njemba uende Ujiji muulizie mtu huyu Mwinyimbegu Jumaa Njemba akueleze kuhusu Babake wachana na habari za kuokoteza unajiabisha tuuuu
 

hahahahaha Mwinyi Mbegu my foot...Ngoja nimalize kazi zangu then ni edit Uzi wangu vizuri.. Will tag u and ur cohorts as fraudsters wannabe...Just stay tuned ..And this is not a threat , it is a promise
 
Duh!
 

Hivi we jamaa una akili kweli?kuna mtu anaweza kusema baba yake alikua muuaji au mshirikina?
 
Hongera kwa kuona fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…