thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,851
There is a big different between god And God.we mwenyewe unajiita god.
Unajiita taamu? That is business caffeine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is a big different between god And God.we mwenyewe unajiita god.
tamimu abdulmaliki muhamad.There is a big different between god And God.
Unajiita taamu? That is business caffeine.
Wacha perepete umepoteza kuaminiwa kwa huu uongo wakoShetani ni Mungu pia.. Anyways usitutoe kwenye Uzi..Nina nondo nyingi sana kuhusu huyu jamaa aitwae Juma Njemba ...Vituko na matukio yote makubwa aliyo yafanya..Ntashindwa kutiririka vizuri kwa sababu ya tapeli mmoja anae taka Ku capitalise kwenye hiyo fact ili awalize watu..please boy cot him
Sasa si ndio taamu? Wewe ni taamu tu mkuu I don't have time to argue with you.tamimu abdulmaliki muhamad.
shikamoo godSasa si ndio taamu? Wewe ni taamu tu mkuu I don't have time to argue with you.
Full name is Charlamagne THA god.shikamoo god
Wacha perepete umepoteza kuaminiwa kwa huu uongo wako
Unataka kujihami kwa kuita watu matepeli ona aibu basi
Aliyetapeliwa nani ktk waliochangia
Tumekwambia ukitaka historia ya kweli kuhusu Juma Njemba uende Ujiji muulizie mtu huyu Mwinyimbegu Jumaa Njemba akueleze kuhusu Babake wachana na habari za kuokoteza unajiabisha tuuuu
pole mkuu nilikuwa nafanya fujo tu.Full name is Charlamagne THA god.
Tamimu...tamimu abdulmaliki muhamad.
Duh!LIKUD nakushukuru kuknikumbusha story ya mzee wangu wa ujiji huyu mzee kwa wafanyabiashara wa mikoa ya Tabora, Mwanza, Kigoma, Shinyanga na wale wa nchi kama Rwanda na Burundi ikiwamo Congo watakumbuka zindiko lake la kupita na magendo bila kuonwa wala kukamatwa na askari na dawa ile ilikua mnapita mnaondoka askari mnawaona wao hawawaoni hata iwe mchana.
Bora amekufaIlikuwa ukitaka kuua MTU unaingia NAE kilingeni kwake anafanya vitu vyake yani habari za msiba wa mbaya wako unazipokea ukiwa kilingeni kwake hapo hapo
Usisahau kutusimulia hilo la Joseph KabaseleHilo zindiko ni hatari sana linahitaji ujasiri wa hali ya juu..Alikuwaga pia na zindiko la kumzika MTU kaburini, MTU kupikwa kwenye pipa pamoja na Yale ya " kusafiri" kwenda kuzimu kama lile lililo muua Joseph Kabasele
Kwani unataka kumuua nani!?Natamani angekuwepo wakati wa leo.
Wacha perepete umepoteza kuaminiwa kwa huu uongo wako
Unataka kujihami kwa kuita watu matepeli ona aibu basi
Aliyetapeliwa nani ktk waliochangia
Tumekwambia ukitaka historia ya kweli kuhusu Juma Njemba uende Ujiji muulizie mtu huyu Mwinyimbegu Jumaa Njemba akueleze kuhusu Babake wachana na habari za kuokoteza unajiabisha tuuuu
Si nimesikia alikuwa hapendi uonevu wa viongozi kwa watu??Kwani unataka kumuua nani!?
Hii nayo kali!Wengi hufa siku saba
Hongera kwa kuona fursaMkuu nakujaa kuandika kitabu cha huyo mtu atakuwa ni miongoni mwa watu watakaokuwepo kwenye chapters ya kitabu changu cha "The Crooks men ever lived in tz"...am comming all the way from Miami ........nina fund ya uandishi nimepata....
kuna kichwa kinaitwa Jombi...mby hiyo....Ali na ali and the like...