Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Bila kuroga duniani utapata pesa ya kula tu ndogo ndogo na kila biashara utakayofanya utaishia kupata hasara hata kama hiyo biashara uliifanyia utafiti wa kina na tathmin miaka 1000 bado utaishia hasara. Mshana jr njoo uwarlekeze pesa nyeusi ikoje.
hahhaa " wazee WA pesa zetu zileeeee""
 
mmmhh "",
 
Acha uongo we jamaa..umesoma NAE wapi..mtoto wa mwisho wa Juma Njemba amezaliwa mwaka 1952...Unataka kutapeli watu eeh??? Mavi yako
hahaaah ati anasema kasoma nae inamaana nayeye nimzee
 
kwahiyo Likud anatunywesha chai ,""?
 
He he he huyu jamaa Ni mpumbavu haswaaa!amekazania kuniweka Mimi na jamaa kama tunatumia I'd moja!!

Ningefurahi sana endapo ungezianika hadharani hizo multiple ids ili umuumbue huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…