hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaa acha masiharA " uchawi wake aliutoa wapi huyo mtuJuma Njemba alikuwa mjomba wangu...wanashare mama na mama yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaa acha masiharA " uchawi wake aliutoa wapi huyo mtuJuma Njemba alikuwa mjomba wangu...wanashare mama na mama yangu
True kuna wazee walikuwa magwiji haswaa usipime,wazee wa kutundika koti hewani,acha masiharA basii mkeka juu ya maji ""?
hahaAaMara unakutana nae mchana unamzingua,mnarushiana maneno na kumpeleka police juu,Alafu unafungua JF unakuta LIKUD kakupa CV yake,unaeza jifukia mwenyewe kabla hajakufukia
humu kuna mtu anaitwa @mung'oa kucha" ..hatari sana huyo mtuSipati picha kama huyo Juma Njemba angekua member wa humu Jf..... tehteehhh
hahahaaaaaBILASHAKA WATAKUWA WALIAMBULIA KIDOGO KAILIMU
NAHISI NDO WANAO MTUNZA ZITO KABWE
hahaaanaona unajiandaa kuwa mteja!
hahhaa " wazee WA pesa zetu zileeeee""Bila kuroga duniani utapata pesa ya kula tu ndogo ndogo na kila biashara utakayofanya utaishia kupata hasara hata kama hiyo biashara uliifanyia utafiti wa kina na tathmin miaka 1000 bado utaishia hasara. Mshana jr njoo uwarlekeze pesa nyeusi ikoje.
mmmhh "",Kaka niamini mm watu wa kigoma sio mchezo niliishi kule 2 yrs nilijionea makubwa nikiwasimuli watu huwa hawaamini mfano kigoma kuna mganga anaweka kinga ya sumu akimaliza kitest unakunywa sumu ya panya uliyonunua mwenyewe ,kwa macho yangu alienisimulia alisaga vioo na kumeza na bia
Mkuu usituogope sio wote wenye tabia mbayaKigoma balaa,hahaa kuna member naanza kuwaogopa hahaa
hahaaaa akili zako wewe daahhAcha ulaghai ..humtapeli MTU hapa..Hapa Kigoma mwisho wa reli
Unakubali kulishwa matango pori[emoji13]Hawa jamaa wanazingua sasa,ligi yanini humu???
hahaaah ati anasema kasoma nae inamaana nayeye nimzeeAcha uongo we jamaa..umesoma NAE wapi..mtoto wa mwisho wa Juma Njemba amezaliwa mwaka 1952...Unataka kutapeli watu eeh??? Mavi yako
kwahiyo Likud anatunywesha chai ,""?Wewe muongo aseeee
Halafu huyu Abu fiiyza Hakuna aliyemuambia amfuate PM kwanin umpe tuhuma za utapeli?
Unasema watoto wake hawajasoma wakati moja ya watoto ni mwandishi wa habari nenda ujiji kaulize namtaka Mwinyi mbegu njemba yeye atakupa ukweli
Usiwape watu tuhuma kulazimisha uongo
Njemba humfahamu sema umesikia kwa watu
Ukiambiwa moja ya wake zake yuko hai utaamini
Nenda ujiji waulize wakwambie ni nani hasa chief Jumaa Njemba achana na soga za kusikia Mtt wake Mwinyimbegu ni rahimu na maarufu mno Mji ule mtafute akueleze kuhusu babake
He he he huyu jamaa Ni mpumbavu haswaaa!amekazania kuniweka Mimi na jamaa kama tunatumia I'd moja!!Nimeweka Uzi kuhusu Juma Njemba na vituko vyake wewe umekuja na maelezo kujifanya una ukaribu na MTU alieachiwa mikoba na Juma Njemba lengo lako ni nini kama.sio.kutaka kuwatapeli watu..Unataka watu wakufuate pm uwaingize mkenge sio ? Acha ujinga wewe ..Mbona members wengine wanachangia bila kujifanya wana ukaribu na hao unao jifanya kuwa Apprentices wa Juma Njemba?
Mambo yote uliyo andika kuhusu Juma Njemba yote ni ya uongo hakuna la ukweli hata moja
.
Unasema Juma Njemba alifariki siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake yani siku ya Ijumaa wakati hiyo tarehe 24/11/2007 ilikuwa siku ya Jumamosi..
Hahahaha jaribu kuja na gia nyingine with ur multiple fake ids..And I am.giving u a last warning before I update my thread na kutag jina lako na ids zako zote unazotumia nikiwatahadharisha innocent members of jf to stay away from you...
Jf members be warned with this guy before it is too late
duuuhhh"" nakuona kangi ninja lugolawasukuma new model sisi!!.. sisi hatuangalii rangi ni chura na kifua!.
hahaaaNaskia sekandi boni wake ni mshana
Naona umemiss target mkuu....tumekutilia kitumbua chako mchanga[emoji13] [emoji13]Only in Tz tapeli anawashauri watu wamjue Mungu..
naam trueUkisoma vizuri kuna mmoja anatoa historia iliyoonyoka