Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Habari za Juma Njemba especially his dark side ni kweli tena kuna mengine LIKUD hajayasema, yeye ulikuwa ukifika unaeleza shida yako tu kama mtu humtaki, first of all anakuuliza unataka nn, unamwambia muue, anakujibu sasa hivi au afe taratibu ukisema now yan biashara imeisha, ndo unakuwa umekwenda na maji. next time nitaeleza habari zingine haswa za binti Rukungu na wengine wa kitambo hicho though am not interested.

Enzi hizo za kigoma dawa za mazindiko zilikuwa nyingi mnoo, kuna vitu ukiambiwa utadhani ni stori kumbe ni kweli.
ushawahi kusikia dawa za kukwepa sumu?, mfano mtu akikuwekea sumu kwenye ugali yani pindi anapokuletea ugali mezani, ugali hupasuka katikati vipande kama vinne au zaidi, kama ameweka kwenye glass la maji basi jua glass itapasuka pindi unapotaka kumpa mnywaji.

ushawahi sikia kuhusu dawa ya kukwepa ajali? yani machale yanakucheza kuwa kuna ajali mbele yani kitendo cha wewe kushuka tu gari halifiki hata mita mia ajali hutokea.

kuna meengi saana, though kuhusu mrithi wa Juma Njemba sina hakika nayo hata akiwepo basi atakuwa hana nguvu .
Haya ndio mambo tunayo yataka mkuu ..shusha nondo na Mimi badae nitashusha zangu..

Kuhusu kukwepa ajali inasemekana ndio zindiko lililo msaidia Zitto mwaka 2008 kwenye ajali ya Salome Mbatia..
Nimesoma post ya kwanza mpaka ya mwisho,Ndg LIKUD umesema utaendelea kutema nondo lkn leo siku ya tatu hamna mwendelezo wowote Mkuu.Juma Njemba anaonekana uwezo wake ulikuwa mkubwa kuliko Pablo Escobar ambaye alikuwa akikwambia jua la kesho hautaliona na kweli kesho haufiki salama.
Pili kumbe Tanzania yetu ni kubwa sana maana huyu jamaa ndio namskia kwa Mara ya kwanza leo
 
1. mkuu, hapo nilipo bold na kupigia mstari nikuwa,"sio watu wakipeleka pungufu" ila ni wakileta pungufu?
kwa sentensi hiyo inaonyesha au umeonyesha kwa mausudi wewe ni sehem ya familia au ni mtoto wake?

2. Kama binti yake wa mwisho alizaliwa 1994, kwahiyo most likely alimzaa binti huyo yeye akiwa na umri wa miaka 76 au zaidi right? Na mama wa huyu binti kuna uwezekano yupo hai bado, maana inaonyesha hakuwa wa makamo sana.

3. kwa namna unavyo andika, hivi wewe sio kweli yule mwanaye ambaye ni mwandishi wa habari?

BTW, mleta uzi #Likud ni mtu ambaye ana heshima sana hapa jukwaani na, binafsi huwa sinaga mashaka naye kabisa pamoja na nduguye #barafu

Sijaona tofauti kubwa sana baina yenu juu ya Mzee Juma Njemba, kwani wewe AbuFizzer umeeleza katika kuigamia only positive side yake, jambo ambalo yeyote angefanya katika kuitetea familia yake......na #Likud ameeleza the otherside ya coin ulioishika!
1. Umepatia kwa kuwa mimi na mwanae tumekuwa na makuzi mamoja, mtaa mmoja, shule moja,

2. Umepatia bint huyo alizaliwa katika miaka huyo mzee akiwa na umri unaofanana na namba uliyoitoa.

3.hapa umeweka dhana isiyo sahihi ingawa namfahamu vema huyo mwandishi.

4. Hatuko sanjari, huyu kaandika defamation kwa mzee huyu mashuhuri, kadhalilisha jina lake, kabuni matukio, na kaisemea uongo familiar yake.

Lakini kwa mtazamo wako upo huru kulinganisha masala haya kwa kadiri ya vipimo vyako.

Nakupongeza kwa umakini wako katika hoja zako zote nne.
Kuna mantiki katika andishi lako na umetumia akili katika matumizi sahihi.

Muhimu mkatazeni Likud kutukana na aache kuharibu majina ya watu kwa uzushi.
 
Kumtetea Juma Njemba ni kutapeli na kumsemea uongo ni kufanya mini?
Nimeweka Uzi kuhusu Juma Njemba na vituko vyake wewe umekuja na maelezo kujifanya una ukaribu na MTU alieachiwa mikoba na Juma Njemba lengo lako ni nini kama.sio.kutaka kuwatapeli watu..Unataka watu wakufuate pm uwaingize mkenge sio ? Acha ujinga wewe ..Mbona members wengine wanachangia bila kujifanya wana ukaribu na hao unao jifanya kuwa Apprentices wa Juma Njemba?

Mambo yote uliyo andika kuhusu Juma Njemba yote ni ya uongo hakuna la ukweli hata moja
.
Unasema Juma Njemba alifariki siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake yani siku ya Ijumaa wakati hiyo tarehe 24/11/2007 ilikuwa siku ya Jumamosi..

Hahahaha jaribu kuja na gia nyingine with ur multiple fake ids..And I am.giving u a last warning before I update my thread na kutag jina lako na ids zako zote unazotumia nikiwatahadharisha innocent members of jf to stay away from you...

Jf members be warned with this guy before it is too late
 
Nilichojifunza
1.juma njemba alikuwa mganga mchawi wa kuogopwa
2.aliua watu
3.alifariki
4.likud ameleta histiroa ya upande mmoja
5.mwana familia kaja kuleta upande mzuri
6.njemba alikuwa mchawi.
7.hakuna aliyerithi mikoba mwenye nguvu kama njemba
Basi
 
Nimeweka Uzi kuhusu Juma Njemba na vituko vyake wewe umekuja na maelezo kujifanya una ukaribu na MTU alieachiwa mikoba na Juma Njemba lengo lako ni nini kama.sio.kutaka kuwatapeli watu..Unataka watu wakufuate pm uwaingize mkenge sio ? Acha ujinga wewe ..Mbona members wengine wanachangia bila kujifanya wana ukaribu na hao unao jifanya kuwa Apprentices wa Juma Njemba?

Mambo yote uliyo andika kuhusu Juma Njemba yote ni ya uongo hakuna la ukweli hata moja
.
Unasema Juma Njemba alifariki siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake yani siku ya Ijumaa wakati hiyo tarehe 24/11/2007 ilikuwa siku ya Jumamosi..

Hahahaha jaribu kuja na gia nyingine with ur multiple fake ids..And I am.giving u a last warning before I update my thread na kutag jina lako na ids zako zote unazotumia nikiwatahadharisha innocent members of jf to stay away from you...

Jf members be warned with this guy before it is too late
Hahahahahahahaha unanipa fursa ya kuongeza afya yangu, umekasirishwa sans na hoja zangu? Hakuna jambo ninalolihofu katika tote uliyoyaeleza.

Mimi ni muungwana sana! Na sijihusishi na utapeli wa ain't yoyote. Nina amini kuwa ukithubutu kufanya yote uliyoyaainisha hapo katika komenti yako basi utaiita jamii ya wana Jf kukutambua vema kuwa wewe umeandika uwongo na udhalili mkubwa kwa mtu huyu.

Kuhusu kuhusika nae mtu huyu, ipo komenti hapo juu kaandika mwana Jf, ambaye ana mtazamo wa kina sana ambaye ameweza kusoma na kuelewa na sio kusoma na kujibu. Nakutaka some ili uelewe.
 
Back
Top Bottom