Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjukuu wake na kumbuka mikoba IPO,,,Acha uongo we jamaa..umesoma NAE wapi..mtoto wa mwisho wa Juma Njemba amezaliwa mwaka 1952...Unataka kutapeli watu eeh??? Mavi yako
Hii huiita akili kubwa Mara zote.Salaam.
Nimeona namie ntie japo ka-uneno.
Kwa kanuni za maumbile ni kawaida mtu mmoja kufahamika kwa watu wengi kuliko yeye kuwafahamu wao wote.
Hivyo,linapokuja suala la kusema juu ya "fulani'',ni wazi kuwa ni wengi watakaokuwa wakiyajua mambo mengi kumhusu be it -vely/+vely.
Pamoja na kuwa uzi huu umeanzishwa moja kwa moja ukilenga the dark side ya huyo mzee tajwa,kufanya hivyo hakufungi malango sisi wasomaji kufunuliwa the opposite side.
Matumizi ya lugha iliyojaa staha ni fani inayoutajirisha uchangiaji wa mtu,hivyo kuepuka kukarahisha. Kwa kuwa kumeshakuwa na 2 sides katika uchangiaji,matumizi ya lugha chafu kama ambavyo imepata kutokea huweza kutafsirika kama dalili ya ku-loose battle.
Nashauri main speakers of both sides kutupatia hivyo wanavyoviita nondo,hiyo minyuko na minyukano yao watakutana pm.
Wa salaam.
Nakimbiza mwenge kimya kimya... Kaa pembeni mchawi wewe alaaah 😀.duuuhhh"" nakuona kangi ninja lugola
Mbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi?Majority humu wanakubaliana na story tena kuna member mmoja alisema alikuwa mteja wa huyo mzee, ila walipofika mlango wa tatu akatoroka!
Nachojiuliza why wooote hao wamsingizie?
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini aliogopeka sana jambo ambalo hata huyo anayetetea anakiri, kwahiyo kama alikuwa mwema na mtenda haki kiasi hicho, why aogopeke?
Wewe humjui Juma Njemba wacha ulaghaiMbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi?
Uovu wote huo lakini mnawachoma moto wenye macho mekundu yeye anadunda tu.
Eti aliishi Kama yupo peponi, mtu ambaye hakumiliki hata baiskeli, anapanda daladala kwenda madukani.
Walimuheshimu sana watu wake, Kama alivyoheshimiwa sana mfalme wa Zemunda baba wa Eddy Muphy kwenye Coming to America.
Swali zuri sana!Kama hakuwa na power yeyote,aliwezaje kuheshimika sana na kutetea wanyonge kama usemavyo??
Sass Kama ni hivyo aliishi wapi??Wewe humjui Juma Njemba wacha ulaghai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo huyo,na hapo unaambiwa mshana alikuwa hafuatilii masomo vizuri ya Juma njemba
Mbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi?
Uovu wote huo lakini mnawachoma moto wenye macho mekundu yeye anadunda tu.
Eti aliishi Kama yupo peponi, mtu ambaye hakumiliki hata baiskeli, anapanda daladala kwenda madukani.
Walimuheshimu sana watu wake, Kama alivyoheshimiwa sana mfalme wa Zemunda baba wa Eddy Muphy kwenye Coming to America.
Hilo umesema kweli sisi sio wazembe katika kutetea tunachokiamini. Ni hakika lakini pia hatuvunji heshima za watu wala kusema uongo.Hawa watu wa kigoma kwa ubishi hakuna hapo sahiv wanavuta pumnzi kwanza hii ligi ndio kwanza imeanza hii wanaweza bishana mwaka mzima hapa..
Wizi mtupu...kajipange tena bwana mdogo umeshastukiwa wewe ni laghai ..Umeniacha hoi ulivyo andika kwa kujiamini kabisa eti Njemba alifariki kwa saratani siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake Ijumaa...Hahahaha wakati tarehe hiyo ilikuwa Jumamosi..Swali zuri sana!
Huyu kwenye labial lake alikuwa ni chief, na alikuwa ni mkuu wa ngoma za makabila yake pia, acha Kigoma alikuwa ni chief wao kwa Tanzania hii, toka ikiitwa Tanganyika. 1963 Kama sikukosea nchi yetu ilifuta utaratibu wa kuwatawalisha machifu.
Lakini baadhi ya Jamii ziliendelea kuheshimu. Kama Chief Fundikira wa Nyanyembe, au Mtwa Adam Sapi, Chifu Burito wa Zanaki nk.
Yeye alikuwa chifu wao. Hivyo kwa kadiri jamii ya labial lake walivyomuheshimu, kwa kadiri ya tabia zake kwa watu wake ndivyo pia jamii kwa upana walimchukulia hivyo.
Katika tabia ninazozijua alikuwa mtu mkali sana, mwenye sauti Nene. Hivyo akikemea kwa sauti ya ukali unajua tu hapa mziki mnene.
Jina la Njemba alipewa akiwa katika umri wa Kati kwenye miaka baina ya 1947 na sitini mwanzoni, huyu alikua msanii miaka hiyo wa ngoma za kirua, aliigiza walivyokuwa wakicheza.
Pia alikuwa msanii wa vichekesho kwenye stage, na aliwahi kuwa kamanda wa TANU YOUTH LEAGUE miaka ya TANU.
Ushahidi wa haya muulizeni Meya wa Zamani wa Mji wa Kigoma Ujiji Mzee Abdallah Shaabani Tofiki. Anajua Zaidi kwa ni shuhuda wa hayo. Au mzee Ramadhani Anzuruni (KIBOKO) mzee aliyesalia kwa umri mkubwa katika eneo alilokuwa akiishi Juma Njemba.
Utakuwa nawe ni miongoni mwa wanaosoma ili kujibu" lakini hapana utakuwa umesahau kuwa hujaona poppet mimi nikiwa mwanafamilia yake, hata ilipotajwa sikuandika poppet kuwa mimi ni mwanafamilia.Mbona hata wewe unakubaliana na Likud anachokisema, inakuwaje mtu aogopeke "kama ulivyokiri" kama alikuwa ana matendo mema kwa namna unavyo tanabaisha?
Kuna vitu vingi, ila viwili ni muhimu pia kuwa haiwezekani mtu kulisahau jina lake mwenyewe wala tarehe ya kifo cha mzazi wake. Lakni endapo ikatokea umesahau tareh ya kifo cha mzazi, basi huwezi itamka popote kwa kujiamini bila wewe mwenyewe kujihakikishia japo kwa kuangalia diary yako.
Swali ni kwanini umekeosea tareh na siku ya kufa kwa mzee huyo?
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa Likud ingali na wewe unamakosa juu ya taarfa yake?
Failure yako juu ya tarehe na maneno aliotabiri juu ya kifo chake, nadhani ninakutoa kutoka moja ya wanae, labda pengine umeolewa ama umeoa mmoja wa wana familia yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo maana Timu ya Mpira wa Miguu ,ikiitwa RTC Kigoma ilishuka daraja ..
Watu wa Kigoma wabishi sana,toeni elimu kwa njia nzuri siyo kurumbana bila mpango.
[emoji23][emoji23][emoji23]Juma Njemba alihitajika zaidi kipindi hiki kuliko kipindi chochote yaani jiwe SAA hz angekuwa anaongelea kaburini.
Haitokei kamwe kuhitaji kuwa mlaghai wa waganga.Wizi mtupu...kajipange tena bwana mdogo umeshastukiwa wewe ni laghai ..Umeniacha hoi ulivyo andika kwa kujiamini kabisa eti Njemba alifariki kwa saratani siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake Ijumaa...Hahahaha wakati tarehe hiyo ilikuwa Jumamosi..
" Falsus in uno Falsus in omnibus" False in one thing false in every thing..
Acha watu wanao mjua Juma Njemba watiririke visa na vituko vyake wana jf wajifunze ..Usituletee utapeli wa kitoto hapa kujifanya upo karibu na walio achiwa mikoba ya Juma Njemba ili watu wakufuate uwalaghai..
Wewe endelea kujifurahisha kwa kujitia kutaja majina ya urongo na kweli ila Jua watu washakustukia ...humuibii MTU hapa
Hapa hatubishani wala Mimi sibishani na wewe ..Mimi ninasema kwamba wewe ni tapeli ambae ulijaribu kutaka kutengeneza mazingira ya kuwalaghai watu kwa kutumia nyota ya Juma Njemba..Hilo umesema kweli sisi sio wazembe katika kutetea tunachokiamini. Ni hakika lakini pia hatuvunji heshima za watu wala kusema uongo.
Tunaweza kujitetea kwa muda wote labda tuwe hatuna wezesho la utetezi wetu. Lakini nondo tunazo[emoji4]
HahaahahahTunashukuru kama mmeanza kuokoka na kusilimu.
Maana mngetumaliza kwa mauganga yenu ya kuzimu.
Damu ya waliolazwa pasi hatia imlilie huyo mungu mtu huko alipo mpaka akome!