Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Salaam.
Nimeona namie ntie japo ka-uneno.
Kwa kanuni za maumbile ni kawaida mtu mmoja kufahamika kwa watu wengi kuliko yeye kuwafahamu wao wote.
Hivyo,linapokuja suala la kusema juu ya "fulani'',ni wazi kuwa ni wengi watakaokuwa wakiyajua mambo mengi kumhusu be it -vely/+vely.
Pamoja na kuwa uzi huu umeanzishwa moja kwa moja ukilenga the dark side ya huyo mzee tajwa,kufanya hivyo hakufungi malango sisi wasomaji kufunuliwa the opposite side.
Matumizi ya lugha iliyojaa staha ni fani inayoutajirisha uchangiaji wa mtu,hivyo kuepuka kukarahisha. Kwa kuwa kumeshakuwa na 2 sides katika uchangiaji,matumizi ya lugha chafu kama ambavyo imepata kutokea huweza kutafsirika kama dalili ya ku-loose battle.
Nashauri main speakers of both sides kutupatia hivyo wanavyoviita nondo,hiyo minyuko na minyukano yao watakutana pm.
Wa salaam.
Hii huiita akili kubwa Mara zote.
Hapa suala ni fact tu.

Matusi hayana fursa kabisa!
Nakubali fikra chanya.
 
Majority humu wanakubaliana na story tena kuna member mmoja alisema alikuwa mteja wa huyo mzee, ila walipofika mlango wa tatu akatoroka!

Nachojiuliza why wooote hao wamsingizie?

Lakini cha kujiuliza, ni kwanini aliogopeka sana jambo ambalo hata huyo anayetetea anakiri, kwahiyo kama alikuwa mwema na mtenda haki kiasi hicho, why aogopeke?
Mbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi?

Uovu wote huo lakini mnawachoma moto wenye macho mekundu yeye anadunda tu.

Eti aliishi Kama yupo peponi, mtu ambaye hakumiliki hata baiskeli, anapanda daladala kwenda madukani.

Walimuheshimu sana watu wake, Kama alivyoheshimiwa sana mfalme wa Zemunda baba wa Eddy Muphy kwenye Coming to America.
 
Wewe humjui Juma Njemba wacha ulaghai
 
Kama hakuwa na power yeyote,aliwezaje kuheshimika sana na kutetea wanyonge kama usemavyo??
Swali zuri sana!
Huyu kwenye labial lake alikuwa ni chief, na alikuwa ni mkuu wa ngoma za makabila yake pia, acha Kigoma alikuwa ni chief wao kwa Tanzania hii, toka ikiitwa Tanganyika. 1963 Kama sikukosea nchi yetu ilifuta utaratibu wa kuwatawalisha machifu.

Lakini baadhi ya Jamii ziliendelea kuheshimu. Kama Chief Fundikira wa Nyanyembe, au Mtwa Adam Sapi, Chifu Burito wa Zanaki nk.

Yeye alikuwa chifu wao. Hivyo kwa kadiri jamii ya labial lake walivyomuheshimu, kwa kadiri ya tabia zake kwa watu wake ndivyo pia jamii kwa upana walimchukulia hivyo.

Katika tabia ninazozijua alikuwa mtu mkali sana, mwenye sauti Nene. Hivyo akikemea kwa sauti ya ukali unajua tu hapa mziki mnene.

Jina la Njemba alipewa akiwa katika umri wa Kati kwenye miaka baina ya 1947 na sitini mwanzoni, huyu alikua msanii miaka hiyo wa ngoma za kirua, aliigiza walivyokuwa wakicheza.

Pia alikuwa msanii wa vichekesho kwenye stage, na aliwahi kuwa kamanda wa TANU YOUTH LEAGUE miaka ya TANU.

Ushahidi wa haya muulizeni Meya wa Zamani wa Mji wa Kigoma Ujiji Mzee Abdallah Shaabani Tofiki. Anajua Zaidi kwa ni shuhuda wa hayo. Au mzee Ramadhani Anzuruni (KIBOKO) mzee aliyesalia kwa umri mkubwa katika eneo alilokuwa akiishi Juma Njemba.
 
Mbona hakuishi mbinguni aliishi hapa duniani. Na Zaidi ya yote majirani zake wapo! Unadhani kuuwa watu 2000 halafu uzao upo na hakuna kisasi?

Uovu wote huo lakini mnawachoma moto wenye macho mekundu yeye anadunda tu.

Eti aliishi Kama yupo peponi, mtu ambaye hakumiliki hata baiskeli, anapanda daladala kwenda madukani.

Walimuheshimu sana watu wake, Kama alivyoheshimiwa sana mfalme wa Zemunda baba wa Eddy Muphy kwenye Coming to America.

Mbona hata wewe unakubaliana na Likud anachokisema, inakuwaje mtu aogopeke "kama ulivyokiri" kama alikuwa ana matendo mema kwa namna unavyo tanabaisha?

Kuna vitu vingi, ila viwili ni muhimu pia kuwa haiwezekani mtu kulisahau jina lake mwenyewe wala tarehe ya kifo cha mzazi wake. Lakni endapo ikatokea umesahau tareh ya kifo cha mzazi, basi huwezi itamka popote kwa kujiamini bila wewe mwenyewe kujihakikishia japo kwa kuangalia diary yako.
Swali ni kwanini umekeosea tareh na siku ya kufa kwa mzee huyo?
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa Likud ingali na wewe unamakosa juu ya taarfa yake?

Failure yako juu ya tarehe na maneno aliotabiri juu ya kifo chake, nadhani ninakutoa kutoka moja ya wanae, labda pengine umeolewa ama umeoa mmoja wa wana familia yake.
 
Hawa watu wa kigoma kwa ubishi hakuna hapo sahiv wanavuta pumnzi kwanza hii ligi ndio kwanza imeanza hii wanaweza bishana mwaka mzima hapa..
Hilo umesema kweli sisi sio wazembe katika kutetea tunachokiamini. Ni hakika lakini pia hatuvunji heshima za watu wala kusema uongo.

Tunaweza kujitetea kwa muda wote labda tuwe hatuna wezesho la utetezi wetu. Lakini nondo tunazo[emoji4]
 
Swali zuri sana!
Huyu kwenye labial lake alikuwa ni chief, na alikuwa ni mkuu wa ngoma za makabila yake pia, acha Kigoma alikuwa ni chief wao kwa Tanzania hii, toka ikiitwa Tanganyika. 1963 Kama sikukosea nchi yetu ilifuta utaratibu wa kuwatawalisha machifu.

Lakini baadhi ya Jamii ziliendelea kuheshimu. Kama Chief Fundikira wa Nyanyembe, au Mtwa Adam Sapi, Chifu Burito wa Zanaki nk.

Yeye alikuwa chifu wao. Hivyo kwa kadiri jamii ya labial lake walivyomuheshimu, kwa kadiri ya tabia zake kwa watu wake ndivyo pia jamii kwa upana walimchukulia hivyo.

Katika tabia ninazozijua alikuwa mtu mkali sana, mwenye sauti Nene. Hivyo akikemea kwa sauti ya ukali unajua tu hapa mziki mnene.

Jina la Njemba alipewa akiwa katika umri wa Kati kwenye miaka baina ya 1947 na sitini mwanzoni, huyu alikua msanii miaka hiyo wa ngoma za kirua, aliigiza walivyokuwa wakicheza.

Pia alikuwa msanii wa vichekesho kwenye stage, na aliwahi kuwa kamanda wa TANU YOUTH LEAGUE miaka ya TANU.

Ushahidi wa haya muulizeni Meya wa Zamani wa Mji wa Kigoma Ujiji Mzee Abdallah Shaabani Tofiki. Anajua Zaidi kwa ni shuhuda wa hayo. Au mzee Ramadhani Anzuruni (KIBOKO) mzee aliyesalia kwa umri mkubwa katika eneo alilokuwa akiishi Juma Njemba.
Wizi mtupu...kajipange tena bwana mdogo umeshastukiwa wewe ni laghai ..Umeniacha hoi ulivyo andika kwa kujiamini kabisa eti Njemba alifariki kwa saratani siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake Ijumaa...Hahahaha wakati tarehe hiyo ilikuwa Jumamosi..

" Falsus in uno Falsus in omnibus" False in one thing false in every thing..

Acha watu wanao mjua Juma Njemba watiririke visa na vituko vyake wana jf wajifunze ..Usituletee utapeli wa kitoto hapa kujifanya upo karibu na walio achiwa mikoba ya Juma Njemba ili watu wakufuate uwalaghai..

Wewe endelea kujifurahisha kwa kujitia kutaja majina ya urongo na kweli ila Jua watu washakustukia ...humuibii MTU hapa
 
Mbona hata wewe unakubaliana na Likud anachokisema, inakuwaje mtu aogopeke "kama ulivyokiri" kama alikuwa ana matendo mema kwa namna unavyo tanabaisha?

Kuna vitu vingi, ila viwili ni muhimu pia kuwa haiwezekani mtu kulisahau jina lake mwenyewe wala tarehe ya kifo cha mzazi wake. Lakni endapo ikatokea umesahau tareh ya kifo cha mzazi, basi huwezi itamka popote kwa kujiamini bila wewe mwenyewe kujihakikishia japo kwa kuangalia diary yako.
Swali ni kwanini umekeosea tareh na siku ya kufa kwa mzee huyo?
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa Likud ingali na wewe unamakosa juu ya taarfa yake?

Failure yako juu ya tarehe na maneno aliotabiri juu ya kifo chake, nadhani ninakutoa kutoka moja ya wanae, labda pengine umeolewa ama umeoa mmoja wa wana familia yake.
Utakuwa nawe ni miongoni mwa wanaosoma ili kujibu" lakini hapana utakuwa umesahau kuwa hujaona poppet mimi nikiwa mwanafamilia yake, hata ilipotajwa sikuandika poppet kuwa mimi ni mwanafamilia.

Sijaoa wala kuolewa!
Napata ujasiri kwa kuwa taarifa yangu Kama itakuwa na mapungufu si ya kukusudia, ninaandika matukio ya 2007 Leo mwaka 2018. Huku nikiwa lengo langu ni kujustfy tens kwa maana ya nilichoshuhudia sio nilichoambiwa.

Zaidi nukta ya kasoro ya kalenda sio nzito Zaidi ya nukta ya kuuwa watu 2000 na bado akatukuzwa. Nani alikuwa anahesabu vifo hivyo? Ilikuwa wapi na wapi waliishi wakauliwa? Aliyetoa Siri hizi nani? Aliuwa akiombwa na nani? Au aliuwa tu hovyo hovyo?

Ushahidi wa haya uko wapi?

Kuhusu nukta ya tarehe sio kubwa iwapo tayari kuna mtu ameonesha kuwa May mwaka 2007 aliondoka Kigoma na miezi kadhaa iliyofuatia alipata taarifa ya kifo hicho.

Iweje bado hujaonesha upungufu wa mwaka alioutaja bosi kachumvi 2001? Lakini ukaona nukta hiyo hiyo ya kalenda ni muhimu kwangu.

Hats hivyo napendezwa sana na udadisi wako....karibu
 
Wizi mtupu...kajipange tena bwana mdogo umeshastukiwa wewe ni laghai ..Umeniacha hoi ulivyo andika kwa kujiamini kabisa eti Njemba alifariki kwa saratani siku ya Alhamisi ya tarehe 24/11/2007 na kuzikwa kesho yake Ijumaa...Hahahaha wakati tarehe hiyo ilikuwa Jumamosi..

" Falsus in uno Falsus in omnibus" False in one thing false in every thing..

Acha watu wanao mjua Juma Njemba watiririke visa na vituko vyake wana jf wajifunze ..Usituletee utapeli wa kitoto hapa kujifanya upo karibu na walio achiwa mikoba ya Juma Njemba ili watu wakufuate uwalaghai..

Wewe endelea kujifurahisha kwa kujitia kutaja majina ya urongo na kweli ila Jua watu washakustukia ...humuibii MTU hapa
Haitokei kamwe kuhitaji kuwa mlaghai wa waganga.
Nachangia Kama mwana Jf. Na hii ni haki yangu, ndio maana sijamshawishi mtu kwa lolote la urithi wa Juma Njemba
 
Hilo umesema kweli sisi sio wazembe katika kutetea tunachokiamini. Ni hakika lakini pia hatuvunji heshima za watu wala kusema uongo.

Tunaweza kujitetea kwa muda wote labda tuwe hatuna wezesho la utetezi wetu. Lakini nondo tunazo[emoji4]
Hapa hatubishani wala Mimi sibishani na wewe ..Mimi ninasema kwamba wewe ni tapeli ambae ulijaribu kutaka kutengeneza mazingira ya kuwalaghai watu kwa kutumia nyota ya Juma Njemba..

Ningesema tunabishana kwa hoja kama ungeishia kusema Juma Njemba hakuwa MTU mbaya kama watu walivyo Dhani .Alikuwa MTU poa na aliwasaidia sana watu..

But hahahaha wewe ukawaona wana jf wote mafala kwa kuja maneno Mengi ukijifanya u MTU wa karibu na alie achiwa mikoba ya Juma Njemba wakati aliye achiwa mikoba na yeye alikufa mwaka huo huo wa 2001 ..

Halafu unajichanganya sana Mara ooh alieachiwa mikoba yupo Dodoma Mara yupo Ujiji ...

Wacha ujinga bwana mdogo
 
Haitokei kamwe kuhitaji kuwa mlaghai wa waganga.
Nachangia Kama mwana Jf. Na hii ni haki yangu, ndio maana sijamshawishi mtu kwa lolote la urithi wa Juma Njemba
Hahahaha this is an after thought ...buahahahahahaha
 
Back
Top Bottom